Madent noumer

Feb 20, 2012
93
11
Mwalimu mmoja alikua anafundisha bahati mbaya akajamba akiwa anasisitiza point.

Kwa aibu alitoka darasan bila kuaga, akakaa wiki mbili bila kuingia clas. Wiki ya 3 akaingia darasan na mazungumzo yalikua hv:

Mwl: Last session 2liishia wap?
Wanafunz: Pale ulipojamba!
 
Back
Top Bottom