Ndugu THIBITISHA uliyotuambia hapo juu ili nawe isiwe ikawa ni mtu wa majungu.
Kupitia vyombo vya habari, tumesikia kuondolewa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari na hapohapo kuteuliwa kwa Mhandisi Kipande kukaimu nafasi hiyo. Mhandisi Kipande anatokea Wizara ya Ujenzi kitengo cha Mizani.
Kwa wanaomfahamu Mhandisi Kipande utendaji wake, tutegemee Sekta ya Bandari kuporomoka vibaya sana. Mhandisi Kipande ni mtu wa Majungu na Fitina sana. Hatutegemei kubadilika na kuingoza Mamlaka ya Bandari kwa Tija. Hata kupewa nafasi ya kukaimu ameipata kwa njia za hira na undugu mwingi.
HILI NI JANGA KUBWA LINALOTHIBITISHA KUWA HATUNA SERIKALI KWA WAKATI HUU.
Pungufu kubwa la Mh Mwakyembe ambalo baadae mtakuja kulibaini ni lile la kutaka kufanya kazi na "watu wake", "WATIIFU" kwake. Serikali na CCM kote kumeoza. Labda kama mpango ni kuwaondoa walioshiba na kuleta walio na njaa nao wale.
Hiyo ni nyepesi nyepesi, unahitaji uthibitisho wa nini?
Ukiwa mkurugenzi wa mamlaka ya bandari hakuna cha ufanya kazi bora wala uadilifu atakula hela kama wenziwe atajijazia mali na fedha ka waliomtangulia mi nampa hongera kwa kupata cheo cha ulaji kwa kua hata wangeniweka mimi ningekula vibaya mno....
Hongera sana Eng. Madeni Shamte Kipande kwa kuteuliwa kuchukuwa nafasi hiyo nyeti na juu kabisa katika taasisi za umma nchini. Kwa ninavyomfahamu mimi ninauhakika mamlaka ya bandari imepata kiongozi shupavu, jasiri, makini mwenye kuthubutu pia mwenye upeo wa hali juu. Tunatumai utaiongoza mamlaka hiyo kupiga hatua kubwa sana.
[MENTION]Hongera sana Eng. Madeni Shamte Kipande kwa kuteuliwa kuchukuwa nafasi hiyo nyeti na juu kabisa katika taasisi za umma nchini. Kwa ninavyomfahamu mimi ninauhakika mamlaka ya bandari imepata kiongozi shupavu, jasiri, makini mwenye kuthubutu pia mwenye upeo wa hali juu. Tunatumai utaiongoza mamlaka hiyo kupiga hatua kubwa sana.
Walikuwa wanamtaka mtu wao sasa wamempata ili waweze kutuibia vizuri na wamepanga akiondoka Kitilya TRA, wampeleke mtu wa sampuli ya Ramadhani Dau ingawa fani yake ni marketing.
Endeleeni tu kuigawa hii nchi kwani matunda ya sera zenu chafu mmeishaanza kuyaona kwenye sensa.
Walikuwa wanamtaka mtu wao sasa wamempata ili waweze kutuibia vizuri na wamepanga akiondoka Kitilya TRA, wampeleke mtu wa sampuli ya Ramadhani Dau ingawa fani yake ni marketing.
Endeleeni tu kuigawa hii nchi kwani matunda ya sera zenu chafu mmeishaanza kuyaona kwenye sensa.
Sijakuelewa bado
Hakikisha bandari ya Bagamoyo inajengwa haraka ili iweze kuleta ushindani na hii bandari ya DAR, ni bandari zilizo umbali wa kilometa 100 zinaweza kuleta ushindani.
Thibitisha maneno yako bwana hayo siyo kuzuka na mawazo mepesi! ulikua unafaidika nini? ndivyo inavyokuaga kwenye mambo longolongo!
Nawashangaa sana mleta mada pamoja na Dr. Mwakyembe. Hapo mmeingia choo cha kike cha JK kinachonuka udini na ukabila bila kuangalia tija. MITANZANA NDIVYO TULIVYO.
Ebu jiulize huyo kipande vipi habari ya mizani? Vipi habari za road safety? Mbona hatuambiwi hapo Wizara ya ujenzi alikuwa nani na anafanya nini? Kama alikuwa benchi ni kwa nini? Ana stadi zipi za kuongoza bandari hata kwa saa moja tu?