Kassim Awadh
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 884
- 187
Acha tuone mabadiliko,Mgawe kakaa sana pale
Huyu kipanda siyo yule aliyekuwa tanroads? Alianza kama rural road engineer-mbeya, regional engineer-kilimnjaro, baadaye mkurugenzi wa mizani -tanroads. Si-comment chochote, lakini nyie mnafahamu yaliyojiri huko mizani
Hongera sana Eng. Madeni Shamte Kipande kwa kuteuliwa kuchukuwa nafasi hiyo nyeti na juu kabisa katika taasisi za umma nchini. Kwa ninavyomfahamu mimi ninauhakika mamlaka ya bandari imepata kiongozi shupavu, jasiri, makini mwenye kuthubutu pia mwenye upeo wa hali juu. Tunatumai utaiongoza mamlaka hiyo kupiga hatua kubwa sana.
Kwenye red hapo ni Kipande, Hapo kwenye red ya pili hajawahi kuwa mkurugenzi wa mizani tanroads, bali ni Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Wizara ya Ujenzi nafasi ambayo alikuwa anaishikilia mpaka anateuliwa kuchukua nafasi hii ya sasa. Ila haswaa ni huyo unaemfahamu
Kupitia vyombo vya habari, tumesikia kuondolewa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari na hapohapo kuteuliwa kwa Mhandisi Kipande kukaimu nafasi hiyo. Mhandisi Kipande anatokea Wizara ya Ujenzi kitengo cha Mizani.
Kwa wanaomfahamu Mhandisi Kipande utendaji wake, tutegemee Sekta ya Bandari kuporomoka vibaya sana. Mhandisi Kipande ni mtu wa Majungu na Fitina sana. Hatutegemei kubadilika na kuingoza Mamlaka ya Bandari kwa Tija. Hata kupewa nafasi ya kukaimu ameipata kwa njia za hira na undugu mwingi.
HILI NI JANGA KUBWA LINALOTHIBITISHA KUWA HATUNA SERIKALI KWA WAKATI HUU.
Nani unaona anafaa kushika nafasi hiyo? unaongelea majungu na fitina wakati wewe unaendekeza mambo hayo hayo ndugu yangu.Kupitia vyombo vya habari, tumesikia kuondolewa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari na hapohapo kuteuliwa kwa Mhandisi Kipande kukaimu nafasi hiyo. Mhandisi Kipande anatokea Wizara ya Ujenzi kitengo cha Mizani.