Madeni nayodaiwa mwezi huu

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,599
3,671
1. Juma abdalah, ananidai 230, ooo/=
2. Ada ya mwanangu, nadaiwa 400,000/=
3. Rostam aziz , ananidai 2350/=

tafakari, hilo deni la mwisho ndio nalazimishwa kulipa haraka, JE WEWE UMELIPA?
 
1. Juma abdalah, ananidai 230, ooo/=
2. Ada ya mwanangu, nadaiwa 400,000/=
3. Rostam aziz , ananidai 2350/=

tafakari, hilo deni la mwisho ndio nalazimishwa kulipa haraka, JE WEWE UMELIPA?


Tumkope kwanza na tuwashe mitambo. Ikishawaka tumtimue hapa nchini. Dawa ya deni sio kulipa. Zuga zuga!! na siasa ndani yake! halafu na kaudikteta!!. Kaubabe...Yaaaani nitakulipa na ni lazima ni kulipe... halaaafu mabomu ya Gongo.. si unaona tunakazi ya fidia ya watu>>> halaafu ... Njaa inatuzuia kulipa sasa hizi kadeni kako hako 94b sio hoja!! halafu kumbe deni lilishalipwa tangu Nov 2010. Tutakuwa tumechoka bure!!
 
Tatizo hayo ya kwanza unaweza ongea nao wakaongeza muda kidogo, ila hilo la tatu halina nafasi ya makubaliano...... Vuru vuru mwanzo mwisho nchi hiiii.........
 
Hilo deni la tatu mie limekaa vibaya maana inabidi niwalipie watu kibao.
- Mother
- Wife
- Kids wawili
- Dada wa kazi nyumbani
- Dada anamsaidia kazi mama
- Kijana ananilindia kihamba changu
- watoto wanne ninaosomesha

11 x 2,350 = 25,850. Kweli RA ni wa kunidai mimi 25,850/- ambazo hazitoshi hata kununua break fast ya mwanae akiwa shule.
Kama kuna Tahrir Square mbinguni basi naomba wenye heri waliotutangulia katika haki waandamane ili kifungu cha "Kwa maana aliye na kitu ataongezewa; lakini yule ambaye hana kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa.” kibadilishwe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom