Mademu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Wambuzi, Jun 11, 2013.

 1. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2013
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 557
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  KWA WASICHANA MKICHUKIA SAWA TU:Mgongo" Umechanjwa chanjwa Kama
  Mganga Wa Kienyeji Bado Unavaa Kinguo kinaacha mgongo wazi,Mguu" Umekomaa Kigimbi hicho Kama mcheza mpira wa miguu, "Eti nawe kimini kila siku",Kingereza" Kibovu, unajidai Kila sentensi kutupia 'Yes' 'No' 'I wish' 'May Be'. hahaha! Kumbe mburula tu,Ngozi" nyeusi tii, Na wewe unang'ang'ania tatoo. Jamani....Hivi mnatambua Kuwa nyie ambao mpo hivi mnatuchekesha Sana tunapowaona humu na huko Barabarani!??? yani hamjui tu mnavochekesha na laiti Kama mngekuwa mnajua sidhani Kama mngekuwa mnafanya hivi!!! Hahahaha!Mewaza tu jaman
  Kwa Hisani ya watu Wamachame wakishrikiana na Lyamungo.
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2013
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 38
  Mmmmh raha jipe mwenyewe...hukupenda vunja vigae ule
   
 3. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2013
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 13,361
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 113
  Hahahaaaaaaaaaa! Mtumzima Atishiwi Nyau!!!!!!!!!!!

  Kujiangalia, kujikosehsa raha, kujistukia na kuwaona wengine ndo wanastahili kuvaa kitu falani ni umburulaaaaaaaaaaa!!!!!!

  Kazi ya Mungu haina Makosa na Sikujiumba, so kama sikujaaliwa na Maulana basi nifanyaje? niwe mnyonge na kuwaona wengine ndo wanastahili zaidi? Thubutuuuuuuuuu!!!!!!!!!11

  Navaa vizuri chochote nafsi yangu inachojisikia kuvaaaaaa! Kama unaona mwili wangu una kasoro wasiliana na Maulana umkosoe kwa kunipa vispoku na sio guu la bia!?? Kama huo uwezo unao? Kama huna kakojoe ulaleee eeeh mtoto mzuri!

  Ukijiangalia Ulivyo huto vaa fashion yoyote, wala hutotoka ndani na watu watahakikisha wanaikali na kujigalagaza kwenye self esteem yako mpaka akili zitakapokurudi kuwa hao wenyewe hawana lolote!!!!!!!!
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2013
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,577
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  teh teh teh wacha weee...........!
  Full viwalo bin tatoo na mitindo ya nywele
   
 5. kashesho

  kashesho JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2013
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 3,613
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 38
  kama wasingevaa hivyo ungecheka saa ngapi???
   
 6. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2013
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 557
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Duu.... inaonekana mmeguswa sana.. ngoja niiondoe hii post
   
 7. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2013
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 557
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  sasa naamini huu msemo

  Madem wa dijitali ata kama ni mbaya ka mizengo pinda, atataka umsifie. .. Xaxa mwambie ukwel kama ye ni zombie, . Dadadadeq, nyapu yake utaiskia kwenye radio ..! Cha msingi kuwamwagia misifa ata kama ya uongo''!
   
 8. Heaven on Earth

  Heaven on Earth JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2013
  Joined: Mar 21, 2013
  Messages: 34,919
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 63
  beaty is in the eyes of beholder..
  or what criteria are you using to judge soneones beauty!!!!!!!!!!!!

  wakati wewe unamwona mwenzio ni zombie ---- mtu
  akiiwaza hiyo sura tu dushelee linamsimama.......
   
 9. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2013
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,881
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Naona kama haya ni maneno ya mkoswaji. Usituletee habari za sungura za sizitaki mbichi hizo!
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2013
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,430
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  basi tusameheni bure jamani
   
 11. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2013
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 13,361
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 113
  HAHAHAAAAAAAAAAAA!

  Mimi ukiniambia MZURI AU MBAYA kukubaliana inategemeana na wewe kama MZURI au MBAYA?????????? Mambo ya nyani haoni kundule siyatakagi!

  Unakuta JITU BAYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA ! SURA IMEMSHUPAAAAAAAAA KAMA FUTARI YA GIMBI! afu eti anataka kukutingisha kuwa wewe mbaya! MXIUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!

  Ila kama mcute roho itaniumaje ?

  So baba WEKA PICHA kabla hatujaendelea usituchoshe tusikuchose! TUSICHOSHANE!!!!!!!!!!!!
   
 12. saudari

  saudari JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2013
  Joined: Dec 26, 2012
  Messages: 2,662
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Mbona naona kama vile ni maneno ya mkosaji.

  Vipi ndugu yangu Wambuzi? Kuna mahali umetupia nyavu halafu haujakamata kitu?

  Tuambizane mkuu huenda nikakusaidia kutatua tatizo lako, Si unajua "sio wote wenye midomo wanajua kuitumia".
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. l

  ladivasia Senior Member

  #13
  Jun 11, 2013
  Joined: May 25, 2013
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wat i hate is mwanaume kukaa kuponda wanawake .i believ ata wewe mtoa mada uvaaj wako wa kituko .uyo uyo umpondae ndo tutakukuta nae unatembea nae .uyo uyo n dada ako nyumban.cha msing usiponde .jaribu kuelimishaa
   
 14. Kirikou Wa Kwanza

  Kirikou Wa Kwanza JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2013
  Joined: May 24, 2013
  Messages: 1,807
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 48
  Mkiambia ukweli mnanuna--mnanuna nini sasa?!
   
 15. waubani

  waubani JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2013
  Joined: Nov 21, 2012
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  ..Tusibishane na ukweli. wazuri wapo na wabaya pia wapo.
  ndio maana hata haya maneno yapo kwenye lugha zetu "UGLY n BEAUTY"
   
 16. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2013
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,741
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 48
  Siku ya leo umekuwa mpole sana rafiki...
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2013
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,430
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  ?ahaaaa sasa nifanyeje hapa
   
 18. Mlandege

  Mlandege JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2013
  Joined: Nov 21, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 18
  Maneno haya yamemlenga mtu si bure

  Mwishoni kamaliza na kwa hisani ya watu wa machame na lyamungo,hapo ndio kadhihirisha kuwa mhusika yatamfikia tu

  Ahsante Wambuzi.
   
 19. c

  casampeda JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2013
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 2,621
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Mambo ya likzo haya wamewagika sana huku mikoani,leo stendi yetu walipita huyo mmoja we acha tu!!ni mzuri lkn kaacha karibu kifua chote tatizo ni mba mwingi sana,sasa sijui anaonyesha nini??? yani hadi kinyaaa!!!.
   
 20. Eli79

  Eli79 JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2013
  Joined: Jan 9, 2013
  Messages: 11,745
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 63
  Hivi kuwa mweusi ni ubaya? Jamani..... hatuishi kujidharau!
   
 21. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #21
  Jun 12, 2013
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 25,936
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 83
  Chale zake

  Miguu yake

  Weusi wake

  Hela alonunulia nguo zake

  ..... Ila mawazo upate wewe.... Majanga
   
 22. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #22
  Jun 12, 2013
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,595
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 38
  uploadfromtaptalk1371011476176.jpg
  ....
   
 23. a

  ayanda JF-Expert Member

  #23
  Jun 12, 2013
  Joined: Mar 7, 2013
  Messages: 1,241
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pole maskini, unaumia eh? Si uwaache tu kwa raha zao na wewe kula raha kivyako
   
 24. a

  ayanda JF-Expert Member

  #24
  Jun 12, 2013
  Joined: Mar 7, 2013
  Messages: 1,241
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  HA HA YAANI WE ACHA TU.

  Ila mie hata mtu akiwa mcute kama miss world, hawezi nitukana eti na roho iniume.

  Nitajua wapi pa kumkamata tu, NO BODY HAS GOT ALL IN THIS LIFE. Unaweza kuta mdada mrembo sana, but anaishi maisha ya kichovu au very desperate sasa uzuri wake umemfikisha wapi????

  kama unajidai mzuri na maybe ni mzuri kiukweli, then usinitukane maana lazima kuna sehemu sensitive nitakayokuzidi piga ua!

  Siumizi watu wala siumizwi na binadamu yeyote yule.
   
 25. chopeko

  chopeko JF-Expert Member

  #25
  Jun 12, 2013
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 1,191
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  duh sawa bwana...wapi MKURABITA???????????? Kimya sana kule!!!!
   
 26. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #26
  Jun 12, 2013
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 11,434
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 48
  lara 1 = sinta
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 27. chopeko

  chopeko JF-Expert Member

  #27
  Jun 12, 2013
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 1,191
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  kweli mkuu????
   
 28. neggirl

  neggirl JF-Expert Member

  #28
  Jun 12, 2013
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 4,770
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  heheheeeeee heiyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....
  mpe mpe vidonge vyake lolz.

  By the way.. kila mtu ni mzuri kwa mtu wake. ..full stop. Kama unaona mbaya waachie wenzio.
   
 29. m

  multmandalin JF-Expert Member

  #29
  Jun 12, 2013
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 1,939
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Wa mbuzi ni huo ubongo wako au nini? Ungepata cha kuandika humu! Fa.la we!
   
 30. G

  Ghostquake Senior Member

  #30
  Jun 12, 2013
  Joined: Apr 18, 2013
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msameheeni!
   

Share This Page