mademu wanaofanya kazi makampuni haya

attachment.php
ndo umejibu nini sasa kutokana na huu uzi?mbona mashairi matupu umetoa
 
Mwanaume ana vichwa viwili cha juu na cha chini. Kimoja kikiwa kinafanya kazi kingine kinakuwa kimetulia na ni kutokana na mzunguko wa damu. Kuna mtu mmoja aliyesoma sayansi alisema hata kisayansi hilo limethibitika.
 
Mkuu wanapenda kula chipsi mayai sana hao kwani uwezo wao unawaruhusu!! We kula kwa macho tu usijeharibu mwaka bure bado mwanzoni mwanzoni si unajua tena!
 
"Man has 2 heads with only enough blood to run one at a time'.[/Q
maana yake??
Maana yake ni kwamba mzee akisimama huwezi kufikiri vyema kwasababu damu inahamia kwenye kuipump na kuifanya kuwa firm, yani mzee mzima akisimama, basi anahitaji blood nyingi sana kuwa active na hivyo kwasababu ubongo nao unahitaji damu nyingi kuflow ili kuuwezesha kupata oxygen ya kutosha ili uweze kufanya kazi, basi ni lazima hutakuwa na damu ya kutosha kurun ubongo wako, hutakuwa unafikiri vyema kwasababu there is no enough blood to supply both at the same time.

Ndiyo maana wakati wa mapenzi wanaume huwa wanajikuta wanatoa ahadi nyingi sana na mara pengi nyingi hazitekelezeki kwasababu thinking capacity yao ilikuwa impared by lack of blood and oxygen inside their brains.
 
we kweli shughuli unayo!:yawn: yaani unakubali kuchelewa kwenye mitikasi yako kisa wowowo? kazi kwei kwei.
 
kuna wengi sana tunapenda vitu kama hivyo ila mh wanafaidi wakubwa. Natamani niwe mkubwa fulani ktk hii nchi
 
"Man has 2 heads with only enough blood to run one at a time'.

kula tano,hapa nadhani wote tunajua blood ilikua inarun kichwa kipi,usishangae kesho akiripoti toka lupango kwa kesi ya ubakaji,umeenda benk eti hutaki foleni iende,ina maana hapo yoote anayotakiwa kufanya siku hiyo hayana maana kisa kaona behind.
 
Back
Top Bottom