Mademu wa tabora!!

Huwezi hata siku moja utatumia mtu mmoja kama sample ili kuelezea mazuri au mabaya ya watu wote watabora au hata sehemu yeyote ila na mbaya zaidi ni hapa unapotaka kubariki uovu wako na huyu mwenza wako.Acheni mambo ya kuiga yatawapeleka pabaya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom