Mademu wa ofisini kwetu hamnazo: Hebu soma hii!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,649
Kwa mara nyingine tena bila kujua nipo ofisi ya pili wale mademu wa ile 'thread ya ana manii nyingin yuleee' wakaanzisha stori yao nyinge ya kungonoka. Safari hii walielekeza mashambulizi kwa Dr Ndodi na mafunzo yake ya mambo ya sita kwa sita. This time niliwakataza na kuwachimba mkwara wa nguvu.

M/ke wa kwanza: ...........(akataja jina la mwenzake) ulimsikia Dr Ndodi Startv eti anadai kulamba koni (yeye alitaja kabisa jina halisi la kitendea kazi) ni dhambi. Mimi nimemshangaa. wakati jamaa yangu nikimfanyiaga hivyo yaani huwa nammaliza kabisa.

M/ke wa pili: Mwenzangu sio kulamba (akataja jina lenyewe), hata kwenda chumvini anadai pia ni dhambi. Kwani nnayemfanyia si mume wangu ye anachokerwa nini? Mwenzangu hizo style mbili zina raha yake yaani ukifa..............(ikabidi niingilie kati).

Nikawaambia mwanzo na mwisho ujinga wao kuja kuuongelea ofisini kwetu, vinginevyo ntawaripoi. Nikawaambia pia kuwa na ile stori waliyomuongelea (nikawatajia jina) ntaenda kumueleza mhusika. Walivyoomba samahani hadi nikawaonea huruma. Ila niliwapa sharti moja nikisikia tena ushenzi wao nawapiga ripoti kwa Mkurugenzi wa Utawala. Wakaondoka limewashuka, na mimi nikarudi ofisini huku nikijichekea moyoni.

Jamani maofisini kuna uchafu mwingi unaendelea.........sio wa maneno tu hata vitendo, loooooooh! Mungu tuepushe mbali na hili janga ukimwi!
 
Eeeeeee Kulamba cone, kula chumvi...ndo story zilizobaki siku hizi bila kusaha mtandao wa tiqo
 
Mkuu mbona wewe unafaidi............Mie hizo stori huwa nazipenda, maana zinaniz=saidia kuondoa stress za kazi...........LOL
 
We sema tu ukizisikia 'huwa unajenga hema' hapo katikati ya kiwiliwili na miguu, teteteeeeeeee!
 
Kwa mara nyingine tena bila kujua nipo ofisi ya pili wale mademu wa ile 'thread ya ana manii nyingin yuleee' wakaanzisha stori yao nyinge ya kungonoka. Safari hii walielekeza mashambulizi kwa Dr Ndodi na mafunzo yake ya mambo ya sita kwa sita. This time niliwakataza na kuwachimba mkwara wa nguvu.

M/ke wa kwanza: ...........(akataja jina la mwenzake) ulimsikia Dr Ndodi Startv eti anadai kulamba koni (yeye alitaja kabisa jina halisi la kitendea kazi) ni dhambi. Mimi nimemshangaa. wakati jamaa yangu nikimfanyiaga hivyo yaani huwa nammaliza kabisa.

M/ke wa pili: Mwenzangu sio kulamba (akataja jina lenyewe), hata kwenda chumvini anadai pia ni dhambi. Kwani nnayemfanyia si mume wangu ye anachokerwa nini? Mwenzangu hizo style mbili zina raha yake yaani ukifa..............(ikabidi niingilie kati).

Nikawaambia mwanzo na mwisho ujinga wao kuja kuuongelea ofisini kwetu, vinginevyo ntawaripoi. Nikawaambia pia kuwa na ile stori waliyomuongelea (nikawatajia jina) ntaenda kumueleza mhusika. Walivyoomba samahani hadi nikawaonea huruma. Ila niliwapa sharti moja nikisikia tena ushenzi wao nawapiga ripoti kwa Mkurugenzi wa Utawala. Wakaondoka limewashuka, na mimi nikarudi ofisini huku nikijichekea moyoni.

Jamani maofisini kuna uchafu mwingi unaendelea.........sio wa maneno tu hata vitendo, loooooooh! Mungu tuepushe mbali na hili janga ukimwi!
Hivi unadhani kuwa wataacha hao? Hiyo ndio tabia yao na tabia haina dawa. na wewe huwa unafanya nini karibu nao mpaka uwasikie? Concentrate kwenye kazi zako bana
 
Mkuu mbona wewe unafaidi............Mie hizo stori huwa nazipenda, maana zinaniz=saidia kuondoa stress za kazi...........LOL

hapana mkuu. huwa wanazidisha, zingine hata kuziandika hapa siwezi maana naweza kuishia kupata ban bure
 
Yaani anye kuku tu akinya bata kahara. Kuna thread aliianzisha Globu kuhusu bidhaa za Azam. Ikaingiliana na neno Koni. Hatimaye thread ikafungwa na akala na BAN. Hii JF inaonyesha ina upendeleo kiasi fulani kwa baadhi ya members. Mmmm yangu macho.
 
Hivi unadhani kuwa wataacha hao? Hiyo ndio tabia yao na tabia haina dawa. na wewe huwa unafanya nini karibu nao mpaka uwasikie? Concentrate kwenye kazi zako bana

Mkuu the office is not vacuumed. Ingekuwa hivyo mbona watu wasingekuwa wanalalamika wanaposoma wengine wakiwa wanapiga kelele na usiniambie masikio yako huwa yanaziba ukiwa kazini
 
Yaani anye kuku tu akinya bata kahara. Kuna thread aliianzisha Globu kuhusu bidhaa za Azam. Ikaingiliana na neno Koni. Hatimaye thread ikafungwa na akala na BAN. Hii JF inaonyesha ina upendeleo kiasi fulani kwa baadhi ya members. Mmmm yangu macho.

Una uhakika mkuu na unaloongea. Isije akawa ameporomosha mitusi, usije ukalinganisha na hii. Hata hivyo huyo jamaa amekutuma umwwakilishe humu badala yake? Mbona wanitafutia ban kirejareja hivi mkuu. Isije ikawa huyo Globu ndo wewe mkuu!
 
Wala sijatumwa. Mimi ni TORABORA mkuu, mapango ya AFGHANISTAN. Ila JF ina kaupendeleo flani hivi, au naweza sema Kauzembe flani hivi. Yangu macho.
 
Mkuu inaelekea wewe ni msikilizaji sana wa hizo mambo na unatega sikio sana ukishawasikia wameingia tuu unaanza kusikiliza
Angalia wasije wakakuumbua aise
 
Kwa mara nyingine tena bila kujua nipo ofisi ya pili wale mademu wa ile 'thread ya ana manii nyingin yuleee' wakaanzisha stori yao nyinge ya kungonoka. Safari hii walielekeza mashambulizi kwa Dr Ndodi na mafunzo yake ya mambo ya sita kwa sita. This time niliwakataza na kuwachimba mkwara wa nguvu.

M/ke wa kwanza: ...........(akataja jina la mwenzake) ulimsikia Dr Ndodi Startv eti anadai kulamba koni (yeye alitaja kabisa jina halisi la kitendea kazi) ni dhambi. Mimi nimemshangaa. wakati jamaa yangu nikimfanyiaga hivyo yaani huwa nammaliza kabisa.

M/ke wa pili: Mwenzangu sio kulamba (akataja jina lenyewe), hata kwenda chumvini anadai pia ni dhambi. Kwani nnayemfanyia si mume wangu ye anachokerwa nini? Mwenzangu hizo style mbili zina raha yake yaani ukifa..............(ikabidi niingilie kati).

Nikawaambia mwanzo na mwisho ujinga wao kuja kuuongelea ofisini kwetu, vinginevyo ntawaripoi. Nikawaambia pia kuwa na ile stori waliyomuongelea (nikawatajia jina) ntaenda kumueleza mhusika. Walivyoomba samahani hadi nikawaonea huruma. Ila niliwapa sharti moja nikisikia tena ushenzi wao nawapiga ripoti kwa Mkurugenzi wa Utawala. Wakaondoka limewashuka, na mimi nikarudi ofisini huku nikijichekea moyoni.

Jamani maofisini kuna uchafu mwingi unaendelea.........sio wa maneno tu hata vitendo, loooooooh! Mungu tuepushe mbali na hili janga ukimwi!

Wewe unaweza kuwa dikteita. Ebu sema wamefanya kosa lipi? Unawaonea kwa vile ni wanawake. Acha unyanyapaa kwa wanawake. They are free to talk mradi hawavunji sheria. Kuna sheria ipi inayokataza kuongea ngono kazini, site it please!!
 
Back
Top Bottom