Mademu Wa Kibongo!

Kuna watu wanapenda wanawake wenye matumbo ya kutitia. Kama wewe haupendi kaa kimya waachie wenzako wanaoyapenda. Wewe ukisema cha kazi gani wenzako wanasema ntakipata lini
 
mkizaa mtaacha tu haya maneno.

"Labda sijafafanua vizuri; suala si kuzaa hata mademu ambao hawajawahi kuzaa wale siku hizi wanaitwa bongo fleva (umri 18 - 35) yaani utamkuta mdada bomba ile mbaya ila mtumbo huo tena lile la kukera kwa haraka haraka waweza kufikiri ni mjauzito kumbe ndo hivyo tena anajifanya meneja. Na si kama nawapenda hawa mameneja bali nawashanga kwa nini wanajiachia hivyo na kutukatisha tamaa ya kuwapenda? Siwezi dinda kwa demu meneja/mwenye kitambi.
 
baeleze baelewe........

Unadhani yanawaingia basi?

Yaani katika miaka yoote tangu uhuru wa nchi yetu... Necta imeshuhudia vioja batch la kina Mwanaasha na Jesca Magufuli...

Batch lao humu JF,angalieni linavotukimbiza! Kina jane-000,wa kusoma,gozo,etc.. Yaani basi tu!
 
Kweli kitambi kwa wadada bongo ni janga la kitaifa.. yani vipo walawala. Sio vile ambavyo mtu akibana tumbo au akivaa nguo kinapotea...yani utadhani zaidi ya nusu ya wadada wa Dar ni wajawazito. Wengine unakuta wembamba...uwezekano wa kuwa na shepu nzuri upo ila kitambi kama cha kwashakoo kinaharibu kila kitu.

Acheni uvivu mpunguze vitambi...ukiwa na cha siri kitakua kati yako n mpenzi/mchumba/mume wako...sio unafanya watu washindwe kuelewa kama wakupe hongera ya ujauzito au la!!!
 
Wewe una kitambi?
 
kumbe nawewe kuna wakat sio mpinzani.wanakera hati wengne wanene hadi tumbo limekatikakatika,minyama hadi karaaaa.unakuta lipo sitting room linakula misosi mingi kama mama mjamzito
 
Mkuu, hata wao wenyewe ukiwauliza kama wanavipenda vitambi hivyo au la sidhani kama watasema wanapenda hali hiyo. Lkn haya ni matokeo ya kutojali na kupuuza tamaduni zetu na kukumbatia usasa, miongoni mwa sababu ya hali hii kwa bibi, mama, dada au hata binti zetu ni: (i) Ulaji usiozigatia afya bora (ii) Utumiaji wa hizi dawa za majira kwa wanawake (iii) Kutofanya mazoezi n.k.
 
Kweli kitambi kwa wadada bongo ni janga la kitaifa.. yani vipo walawala. Sio vile ambavyo mtu akibana tumbo au akivaa nguo kinapotea...yani utadhani zaidi ya nusu ya wadada wa Dar ni wajawazito. Wengine unakuta wembamba...uwezekano wa kuwa na shepu nzuri upo ila kitambi kama cha kwashakoo kinaharibu kila kitu.

Acheni uvivu mpunguze vitambi...ukiwa na cha siri kitakua kati yako n mpenzi/mchumba/mume wako...sio unafanya watu washindwe kuelewa kama wakupe hongera ya ujauzito au la!!!

Uongo dhambi leo umenkosha kama nini..
 
Mkuu, hata wao wenyewe ukiwauliza kama wanavipenda vitambi hivyo au la sidhani kama watasema wanapenda hali hiyo. Lkn haya ni matokeo ya kutojali na kupuuza tamaduni zetu na kukumbatia usasa, miongoni mwa sababu ya hali hii kwa bibi, mama, dada au hata binti zetu ni: (i) Ulaji usiozigatia afya bora (ii) Utumiaji wa hizi dawa za majira kwa wanawake (iii) Kutofanya mazoezi n.k.

Tombokaaa ndugu tombokaaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom