Madem na wake za watu mtaani wananiita pedeshee

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
1,714
442
Eti wajameni kwanyi neno PEDESHEE/PAPAA lina maana ganyi maana kitaani madem na wanawake(wake za watu) hupendanga kuniitanga Pedeshee Mkarewenyu ila nashindwanga kuwaelewanga wana maana ganyi.
 
wanataka kukuchuna vihera vyao na wewe utakuwa unajipendekeza kwao
 
Eti wajameni kwanyi neno PEDESHEE/PAPAA lina maana ganyi maana kitaani madem na wanawake(wake za watu) hupendanga kuniitanga Pedeshee Mkarewenyu ila nashindwanga kuwaelewanga wana maana ganyi.

Ha ha ha ha ha ha haaaa......

We mkareee....

Utakuwa "unawanyunyulia" manyanya,na mandangaa.. Ndiyo maanaga wanakupendanga...

Usiongope..hiyo!

Kwani we hapana Mariooo...? Baadaye batakutongoza,na batakupa mahela benyewe!
 
kamanda kwani wewe mgonjwa au waonekana dhaifu? wana maana una dalili zote za HIV/AIDS
 
maana yake ni mbaya sana...waambie waache mara moja!..
 
Ha ha ha ha ha ha haaaa......

We mkareee....

Utakuwa "unawanyunyulia" manyanya,na mandangaa.. Ndiyo maanaga wanakupendanga...

Usiongope..hiyo!

Kwani we hapana Mariooo...? Baadaye batakutongoza,na batakupa mahela benyewe!

bamutu bengine cjui banatakanga nini kwangu,au ndo banataka kutomboka kikongo?
 
Eti wajameni kwanyi neno PEDESHEE/PAPAA lina maana ganyi maana kitaani madem na wanawake(wake za watu) hupendanga kuniitanga Pedeshee Mkarewenyu ila nashindwanga kuwaelewanga wana maana ganyi.

Mmh, -ganyi, -wenyu; wewe utakuwa pedeshee feki wa Kichaga.
 
Back
Top Bottom