Madee amekufuru!

sawa inawezekana hivi wanajamii hakuna watu wanaoteseka mateso zaidi ya huyo yesu acheni utani bwana musilete udini kama vipi tembeleeni maohospitals
Mateso ya Yesu unayajua wewe au unaongea tu!?? Acha hizo mkuu. Ni mateso ya aina yake, hayana ulinganifu ndugu: kukataliwa na watu wake, kudhalilishwa, kusingiziwa mengi, kutukanwa, kupigwa mijeledi, kuvikwa taji la miiba, kupigiliwa misumari msalabani, nk. Haya mateso nani anajilinganisha nayo? Yaani ni ya pekee tu. Ni yake Yesu tu. Kama kuna mtu mwingine kawahi kupata mateso hayo ni yake, si ya kulinganisha na ya Yesu. Yesu ni Yesu na mateso yake; mwanadamu ni mwanadamu na mateso yake.
 
kama kawaida; hawa vijana wanaovaa suruali zipo chini ya ****** na hereni kama mashoga halafu wanajiita wasanii wa bongo fleva asilimia kubwa huwa hawafikirii kabla ya kutunga nyimbo zao! Huo wimbo umelengwa kwa jamii, lazima ajue Tanzania ni nchi ya wakristo wengi, na zaidi wimbo wake unategemea kwenda nje ya mipaka ya nchi; YESU kwa wakristo ni zaidi ya nabii, ni MUNGU! Kwa wakristo hakuna mtu wa kumfananisha na YESU na hakuna mwanadamu katika dunia hii atakayeweza kustahimili mateso aliyoyapata yesu!! Huyu Madee yeye lishawahi kuchapwa mijeledi na Wayahudi? (si ajabu hata viboko vya shule ya msingi hajawahi kuvionja) Amewahi kuchomwa mkuki huyu? (zaidi ya sindano za chanjo na alipokuwa anaumwa malaria tu)...na je, ALISULUBIWA WAPI Madee?? (kama kweli mateso yake ni zaidi ya Yesu)...Asichezee imani za watu wengine
 
Kuna mmoja ilikuwa asomewe albadiri, sijui hii iliishiaje:

picture.php
 
huo ndo uwezo wake wa kufikiri...hawa wasanii wa Bongo flava ni mabingwa wa kupayuka.Tumsamehe bure.
 
Ashukuru wafuasi wa YESU wana moyo wa uvumilivu na wa kusamehe. Na ajaribu kujilinganisha Mtume Mohamedi aone kama hakuchezea kichapo.
 
Kuna mmoja ilikuwa asomewe albadiri, sijui hii iliishiaje:

picture.php
Hapo kajifanya Muislamu sijui ingekuaje angejifananisha na mtume!! yangetokea yale yale ya mwembe chai!! upande huu wa pili hawana longolongo!!
 
Cha kushangaza ni jinsi Yesu anavyompenda Madee.Na alikufa kwa ajili ya watu wenye kufuru kama Madee.Jamani Mnazareti huyu! ana Upendo wa ajabu hata hahukumu kama sisi tunavyohukumu wengine.
 
Hivi hawa wahariri wao pia huwa hawawezi kuwasahihisha kabla nyimbo au videa havijaenda hewani, inasikitisha sana kwa kweli
 
Hivi hawa wahariri wao pia huwa hawawezi kuwasahihisha kabla nyimbo au videa havijaenda hewani, inasikitisha sana kwa kweli

wala usisikitike sana - hakuna tofauti kati yao na wahariri wao - si unajua tena wako kwenye ufalme wa giza???? wana macho lakini hawaoni; wana masikio lakini hawasikii; wana akili lakini hawaelewi;
Inahitaji nguvu ya Mungu kuwafungua watu hao - tuzidi tu kuwaombea - Yesu Kristo ni Yeye yule Jana na Leo na Milele - wimbo haubadilishi ukuu na uweza wake - kumbe Madee anajua Yesu aliteseka? Shida ni kuwa hajui haliteseka kwa ajili yake - mnaoweza kumfikia - mwambieni yamkini katika mahangaiko yake anamhitaji Yesu aliyeteseka kwa ajili yake ili yeye apate pumziko - badala ya kuimba bongo flava aimbe Nyimbo za kumsifu Yesu - Mungu wabariki na waokoe wote walioko kwenye ulimwengu wa giza - amen!!!
 
Hapo kajifanya Muislamu sijui ingekuaje angejifananisha na mtume!! yangetokea yale yale ya mwembe chai!! upande huu wa pili hawana longolongo!!
Si kwamba hawana LONGOLONGO........... hizo wanazo sana........ ila hawana "MSAMEHE MWENZIO SABA MARA SABINI"............ wao wana jino kwa jino..........
 
OK,OK, some of us are of the opinion that "Wanamuziki" wetu wengine wanabwabwaja, na hawako sensitive enough kujua what's virtuous and what's vile.As logical as that argument sound, who are we to tell them what's virtuous and what's vile?

Mimi kama mtetezi wa freedom of speech and expression nitawauliza.

1. Haiwezekani kwa binadamu kuteseka zaidi ya Yesu?
2.Kama inawezekana inakuwaje kosa kwa mtu kusema tu kwamba kateseka zaidi ya Yesu.

After all katika sanaa kuna kitu kinaaitwa poetic license, ndiyo maana unamsikia mtu kma Nas alisema

I carry the cross, if Virgin Mary had an abortion
I'd still be carred in the chariot by stampeding horses

Nas- The Cross

Now we all know (I take that back, I won't be surpised if some of us don't) the Catholic church's stand on abortion, so Nas not only said that he carries the cross like Jesus, but he "blasphemed" the Virgin Mary by suggesting that if Mary had an abortion he would still triumph, presumably in the place of Jesus.

I hardly heard anybody raising an eyebrow, why? This is Nas, this is Hip Hop, he is supposed to be unorthodox and controversial, if you want hymns listen to your local choir.

Hapa Jigga anamtupia madongo Jehovah

And even if Jehovah witness, bet he'll never testify, D'Evils

Jay-Z D'Evils

Mifano lukuki.

Hivi msanii wa kibongo akiamua kuandika wimbo kama "Suicidal Thoughts" wa Notorious B.I.G mtaweza kuelewa kwamba ni sehemu ya sanaa au mtawahi kuazini na kupiga fatwa pamoja na kukemea?

Jamani, huyu ni msanii wa bongoflava, si PM wala MP.Huyu yupo kazini na yeye ana constituent yake ambayo inatoa a subtle statement hapo, kwamba fvck religion, fvck Jesus. In some way he is supposed to push the envelope of our societal limits by being bordeline ignorant. Sasa tukianza ku scrutinize kila line ya bongoflava ili iwe sawa na Anselm, Augustine, the apostles and all the prophets badala ya hawa wasanii wa bongoflava kuwa ignorant, sisi tunaowa scrutinize ndio tunakuwa ignorant.
 
Watu kama hawa ndio wanarudisha nyuma juhudi za Wasanii wazuri wa Bongo flava, hawa ndio aliosema Prof J ni bora wasanii, wanafanya muziki huu uonekane bado wa kihuni japo wasanii bora kama Prof J, Jide (manka), FA, AY Chid Benz(NWO) na wengineo wanajitahidi kuifanya Jamii ielewe. Mi nilimuona siku ile kwenye tamasha la Zinduka mbele ya Rais eti anavaa suruali inashuka chini ya makalio! Wanahitaji msaada vijana kama huyu.Alianza kuwachokoza wana hiphop kwa kuwaambia HipHop aiuzi wakampa kichapo katulia, kaona haitoshi au haikumtoa sasa ameingia choo cha kike! subiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom