Madawa ya mabilioni yaibiwa tanzania

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
886
376
Millions in donated malaria drugs stolen - Health - Infectious diseases - msnbc.com

Kama kawaida kila kitu kwetu dili. madawa yenye thamani ya zaidi ya dola milioni 200 yamepotea TANZANIA pekee. Je kuna watu watafikishwa kwenye vyombo vya sheria?Will heads roll?

$200 million worth of drugs may have been stolen in Tanzania
Specific dollar figures were not available for the other nine countries, all in Africa and including Nigeria and Kenya, where the Global Fund has large programs. Findings suggest a total value of stolen drugs far exceeding the $2.5 million figure: In Tanzania alone, the fund suspects that $200 million worth of malaria drugs was stolen.
 
Ndo nchi zetu hizo, when the country relies on foreign aid nothing is expensive, everything becomes cheap. Hakuna jasho la mbongo hapo, ingwa tunafanya biashara kichaa ya dhahabu kwa vidonge tunavyoweza kutengeneza.
 
Nashangaa hawa "wafadhili" wanaendelea kuleta "misaada" kwa ajili gani!!! They are stupid.
 
Muondoeni huyo mama katibu mkuu wa wizara ya Afya [ Blandina nyoni] she is more of a liability; toka ameingia hapo ni matatizo tu na inawezekana kabisa wafadhili wakakata misaada kuleta nchini because of her poor administration skills. For good measure let Dr . Mutasiwa be in charge of the minisrtry it will perform wonders. Hizo dhahabu anazojipamba huyo mama mnafikiri zinatoka wapi kama sio huko walikoiba madawa? Rekodi yake ni mbaya toka alivyokuwa kule Maliasili.
 
inasikitisha sana..... hii serikali sijui ina laana...?!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom