Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madawa ya kulevya:

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaka1, Aug 9, 2013.

 1. K

  Kaka1 Senior Member

  #1
  Aug 9, 2013
  Joined: Aug 7, 2013
  Messages: 85
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 8
  Wanajf hii mambo ya madawa kulevya mimi nadhan ni kutokana na mambo yafuatayo:-
  1.RUSHWA
  2.KUJUANA
  3.UZEMBE WA M
  AFISADI.
  waweza ongeza ila wenzetu wanaangamia china na kwingineko kwa sababu ya watu wachache.
   
 2. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2013
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 63

  NOP tatizo ni Mwinyi na swaiba wake Kikwete.
   
 3. K

  Kaka1 Senior Member

  #3
  Aug 9, 2013
  Joined: Aug 7, 2013
  Messages: 85
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 8
  Vifungo vya maisha na ukichaa ndio furaha yao.
   
 4. Mvuni

  Mvuni JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2013
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 322
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muulize Kikwete kwanini amekumbatia majina ya wafanyabiashara wa madawa ya kulevya? Yeye kila kitu hawezi kuchukua hatua, sijui ni Rais wa namna gani huyu. Nashawishika kuwa pengine naye anahisa katika biashara hizo: madawa ya kulevya, ujangili, ufisadi nk.
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2013
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 11,433
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 48
  Madawa ya kulevya yana siri kubwa...ngoja tuone sasa
   
Loading...
Similar Threads - Madawa kulevya Forum Date
Dogo Mfaume (mzee wa kazi ya dukani) anateketea kwa madawa ya kulevya Habari na Hoja mchanganyiko Mar 22, 2016
Je, Ugoro upo kwenye orodha ya madawa ya kulevya? Habari na Hoja mchanganyiko Jan 31, 2016
Vita dhidi ya Madawa ya kulevya: Kijana kwa jina la "KAZI" akamatwe ataje wengine Habari na Hoja mchanganyiko Dec 30, 2015
Tuzianike taarifa kuhusu biashara ya madawa ya kulevya hapa serikali ifanyie kazi Habari na Hoja mchanganyiko Nov 28, 2015
Ninachokitabiri kwa huyu muuza madawa ya kulevya Habari na Hoja mchanganyiko Nov 22, 2015

Share This Page