Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

Hivi wadau ,huyu Agness Gerald ama masogange whereabouts zake ni zipi kwa sasa na lile sakata la yeye na mdogo wake kukamatwa kule south wakipeleka mzigo wa unga liliishaje ishaje,
 
Hivi watanzanzia mnamfahamu mama mkenya kwa jina Nyakinyua anayetoka huku kwetu kenya aliyetajwa na F.B.I kama mlanguzi mkuu wa madawa ya kulevya naskia mmemficha huko TZ.
 
Madawa ya kulevya ni tatizo kubwa sana nchin na hata duniani kwa ujumla na waathirika wakubwa ni vijana ndo wamekuwa watumiaji wakubwa wa madawa ya kulevya na kushindwa kuwa productive tena ktk maisha yao na mifano mingi ipo nchini hapa special kwa wasanii ndo wamekuwa wahanga wakuu sana wa madawa hayo ingawa tumeona wachache wao waliojitekeza hadharini na kuadmit wanatumia na kuahidi kuacha na pia kuanza harakati za kuamasisha vijana wengine na wasanii wenzao kuacha kutumia madawa hayo. Yote haya ni kwasababu ya mtandao mkubwa wa madawa hayo na pia nguvu ya hao wakubwa wanao fanya hiyo biashara maana hongo zimekuwa zikitumika kuwalaghai maofisi wa polisi ili mzigo kupita katika inlets and outlets tofauti nchini na hata katika mataifa mengine.
But mkereketwa mkubwa anakuja serikalini na tunaimani kubwa kwake kuwa atadeal na hili jamga la taifa la adawa ya kulevya ili kuwanusuru vijana wa taifa letu. ViVa JPM
IMG-20150909-WA0087.jpg
 
View attachment 292101

Ule ni Mradi wa Ridhiwan sasa huyu Magufuli wako atawezaje kuzuwia?
Unajua kilichomuamisha mwakyembe Uchukuzi?
Ni kuzuwia Unga wa wakubwa.
Sitarajii kitu chochote kwa Magufuli zaidi ya kupoteza muda tu.
Lowasa mpango Mzima
 
Watachoma vipodozi na makokoro lakini sio madawa ya kulevya, ulisikia wapi na lini yalipokamatwa madawa ya kulevya yalichomwa, sisemei bangi, hapana
 
Watu wengine wanapita airport, wanakuweka muda mrefu mpaka mizigo ichunguzwe sana, nilikwenda Singapore wiki 2 zilizopita ni tabu tupu, nawauliza customs officer, Mimi naishi Japan madawa ya kulevya nayatoa wapi? Wakanijibu kuna watu wanafanya connection route, let's say mtu anatoka Tanzania anakuja Japan, akifika hapa anashusha mzigo, mwenyeji anapokea anapeleka destination nyingine!

Nilichoka kabisa.

China watanzania wanasachiwa balaa hawaamminiki Nchi nyingi sasa
 
Dawa za kulevya ni worldwide problem na wahusika wanabadili mbinu za usafirishaji day- in day-out tusidhani kitu kidogo na Serikali inakifurahia hili janga ni pasua kichwa kuliko tunavyolijuwa.
 
Aisee....niliangalia taarifa ya habr last week..ilikuwa inasema hv....SHEHENA YA MADAWA YA KULEVYA YAKAMATWa TANGA....nliishiwa pozi...sheehena ya meli...meaning kwamba kuna kontena kibao humo za madawa...hv inakuwaje wanasafirisha madawa kama viile mitumba?
 
Madawa ya kulevya ni tatizo kubwa sana nchin na hata duniani kwa ujumla na waathirika wakubwa ni vijana ndo wamekuwa watumiaji wakubwa wa madawa ya kulevya na kushindwa kuwa productive tena ktk maisha yao na mifano mingi ipo nchini hapa special kwa wasanii ndo wamekuwa wahanga wakuu sana wa madawa hayo ingawa tumeona wachache wao waliojitekeza hadharini na kuadmit wanatumia na kuahidi kuacha na pia kuanza harakati za kuamasisha vijana wengine na wasanii wenzao kuacha kutumia madawa hayo. Yote haya ni kwasababu ya mtandao mkubwa wa madawa hayo na pia nguvu ya hao wakubwa wanao fanya hiyo biashara maana hongo zimekuwa zikitumika kuwalaghai maofisi wa polisi ili mzigo kupita katika inlets and outlets tofauti nchini na hata katika mataifa mengine.
But mkereketwa mkubwa anakuja serikalini na tunaimani kubwa kwake kuwa atadeal na hili jamga la taifa la adawa ya kulevya ili kuwanusuru vijana wa taifa letu. ViVa JPM
View attachment 292101

Kwa mamlaka hiyo haikuwepo!!?
Au atahusisha na wawekezaji?
 
Jana nilichungulia chini ya daraja la Ubungo kama unaelekea Riverside. Moyo uliniuma sana. Kizazi kinateketea,...!
 
Nasikitika kuwa vita dhidi ya Biashara. Ya madawa ya kulevya siyo kipaumbele muhimu katika hawamu hii! Hajataja hata sehemu moja suala hili.
 
You must be joking :mad::mad::mad::mad:
Safari nyingine sahihisha lugha yako unapoandika.
Hawamu=Awamu
 
Attachments

  • 1448234431492.jpg
    1448234431492.jpg
    41.6 KB · Views: 437
Back
Top Bottom