Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

wabongo na kupenda maisha mazuri na njia za mkato ndo vinatupelekea huko. vyombo vya dollar hatahaviwachunguzi watu wenye utajiri wameupataje
 
mhusika mkuu kwa sasa NI RIDHIWANI JAKAYA KIKWETE na naibu waziri wa kilimo na ushirika ADAM MALIMA hao wanahusika kwa sasa,rejea kifo cha mfanyabiashara wa madini ya dhahabu DAVID MWAIKELA alipata ajari bandarini DAR mida ya saa 9 usiku inavyo semekana wenzake walimfanyia,siku anazikwa mbeya Rais alituma watu watatu kutoka katika familia yake wa 1 alikuwa MAMA SALMA KIKWETE, wa pili RIDHIWANI JAKAYA KIKWETE, wa tatu mtoto wa kikwete MIRAJI na ADAMU MALIMA naye alikuwepo sasa kwa habari za uwakika kuwa Mwendazake marehemu DAVID alikuwa ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya ONA picha alafu toka najibu JK ndio anaowalinda hawa wauza madawa ya kulevya TAFUTA GAZETI LA JAMHURI la wikii hii uone mambo
 
Madawa ya kulevya mtandao wao mi mkubwa na mrefu.Kilo zote zilizokamatwa afrika ya kusini zageuka kemikali ya kutengeneza dawa ya kutibu pumu - majanga:)
 
mimi hata hizi safari za jamaa kila kukicha ulaya naapa nahisi atakua anabeba mizigo. si hakaguliwi! Kweli wale wanawake wameachiwa hvhv. hehe.
 
Meanwhile, according to Bangladesh Prisons officials, around 800 people from India, Pakistan, Myanmar, Sri Lanka, the Philippines, Korea, Morocco, Turkey, Nigeria, Guinea, Ghana, Hungary, Mali, Peru, Libya, Sudan, Tanzania, Uganda, Congo, Cameroon and some other African countries are detained at different Bangladeshi jails for their involvement in various crimes.

Police search for crime links of overstaying foreigners | Dhaka Tribune
 
mwenzenu kabeba wanazoita kemikali faini m 5 jaribu wewe sasa uone kifungo miaka mia na faini juu.
 
Jamanni huyu si ndio binti aliyetutukana kwamba tunamuonea wivu anakula bata tumezidi umbea, wewe katoto kwa shule gani mpaka uonewe wivu? sasa kiko wapi?

Na hao wapumbavu wenzako wanaokudanganya eti umefanyiwa mission ya watoto wa vigogo na serikali ya CCM ya kishenzi eti ukirudi wakupokee kwa kishindo hebu wajaribu ndio watatutambua, sisi tunasomesha watoto wetu kwa tabu waje kuwa watu wa maana tena hao wakina Kinje na Ridhiwana wakutafutie kwa kwenda, najisi wakubwa nyie.

Na hao wakina Kinje lazima tuwa black list, anybody anayejulikana kutaka kutuulia vijana wetu kwa njaa zao apotezwe, tusicheke naokabisa
 
Hivi karibuni ...yaani wiki iliyopita nilifanikiwa kuangalia kipindi kinachorushwa na EATV chini ya mtangazaji muendeshaji wa kipindi Salama. Siku hiyo salama alikuwa mwanamuziki al maarufu Chidi Benzi...(siku hizi ametoga/toboa pua yake)...

Salama alimuuliza maswali mbali mbali likiwemo la kutoboa pua...na Benzi aliyajibu. Lakini kati ya majibu ya Benzi yaliyonishtua kutokana na maswali ya Salama na wenzake ni yale yakusema yeye (CHIDI BENZI) kuwa amewahi kutumia aina zote za madawa ya kulevya na kuuza pia. Benzi aisisitiza kuwa biashara ya madawa ya kulevya ni kama biashara nyingine...mtu unaweza kuifanya na baadaye kuiacha.

Wanajamvi hakuna upenyo wowote wa sheria zetu zinazoweza kutusaidia kumkamata huyu kijana na kumbinya mpaka akatuapa ushahidi wa wale wanomiliki wakubwa wa bihashara ya madawa ya kulevya hapa nchini ili tuwatie hatiani?
 
Juzi juzi Rais aliweza kukemea Rushwa katika kikao cha ndani ya CCM. Haina shaka sisi wenye chama tunajuana jinsi tunavotawanya vijisenti wakati wa kampeni. Kweli rushwa inakitafuna chama, na wote tunaona hata wale wanaojiaandaa kuchukua hatam baada ya JK kungatuka walivoweka pesa mbele kama Tai. Pesa imekuwa ALPHA.
Kitu kingine kinachobeba chama ni pesa haramu zinazotokana na biashara haramu za madawa ya kulevya na pembe za ndovu. Kama kweli chama chetu ni cha mapinduzi, ebu Rais wetu akemee pia biashara hii ndani ya chama japo hata kwa siri japo ingependeza hadharani. Hivo hivo na Mbowe kule CHADEMA, maana imesikika wabunge nao wanashiriki katika biashara hii. Tuanze na kwetu CCM maana kuna watu wanakuwa pointed na wanakifadhili chama. Tukinusuru chama kwanza.




 
Back
Top Bottom