Madawa ya kulevya inakuwaje?

RUTARE

Senior Member
Dec 10, 2011
149
31
Nimesikia kupitia DW radio kwamba asilimia kumi na tano15% ya pato la Taifa la Afghanstan kutokana na madawa ya kulevya na kwahiyo inakuwa vigumu kupiga vita thabiti dhidi ya madawa ya kulevya hapo kuna kitu sijaelewa hayo madawa yanachangiaje kwenye pato la taifa wakati siyo biashara halali? msaada tafadhali!
 
Back
Top Bottom