Madawa ya Kulevya: Alivyotoroshwa Nurdin Akasha

dah hii thread imenifurahisha sana,lakini nadhani hawa wa kina akasha hawakujua wadeal na watu wa aina gani,walifanya nao biashara na wakaanza kuwatishia...kweny kitabu cha 48 Rule of power,rule no 16 inasema,Knows who you dealing with...RIP Akasha family,lakini kinachonishangaza,Mafia huwa hawaui member wa familia ambae hashiriki kwenye biashara ya familia,au mwanamke,iweje watoto na mke na ndugu wauawe? eqylpz,any idea?
 
Hawa jamaa watakuwa walitengeneza maadui wengi, kwa hiyo jamaa wanalipa kisasi tu.
 
Niliyaona yale magari yake pale polisi Kilwa na polisi waliniambia kisa kushikwa ilikuwa ni kumnyima mfanyakazi wake pesa zake za likizo naye akawatonya polisi. Polisi waliyashika magari yake na ugumu ulikuwa ni kujua madawa yalikuwa yanabebwaje. Yale magari yalikuwa na trailer na number za nchi mbili lakini nimesahau. Trip zilikuwa ni kutoka mombsa mpaka south afrika kupitia Tanzania. Ajabu zilikuwa zikisafiri bila mzigo wowote. Mbinu waliyokuwa wanafanya ni kuweka matank mengi ya mafuta kumbe yale matank walikuwa wanajaza madawa. Polisi baada ya kutafuta kila mahali ndio wakasahangaa mbona kuna sehemu nying zimechomelewa. Kumbe wakifika south wanayakata na kurudi Kenya kuchomelea mengine wakati yale yakipakuliwa. Hilo ndilo lilifanya wakapata hayo madawa lakini haikuwa rahisi kwa sababu huyo mfanyakazi hakutoa habari kamilifu kwa polisi.

Thanks mkuu kwa ufafanuzi.

Niliwahi sikia kuwa milango ya matanki waliyokuwa wanafichia madawa ilikuwa kwa juu.
 
Mkuu story yako umeitia chumvi kidogo.

Ibrahim Akasha alikuwa ni supplier wa madawa kwa ndugu wawili waliokuwa wanaishi Netherlands Magdi Barsoum na Mounir Barsoum, hawa ndugu wawili wakawa wanauza madawa kwa jamaa anaitwa Sam Klepper. Ibrahim Akasha alienda Amsterdam kufuatilia malipo yake baada ya kuuza heroin na madawa mengine kwa mkopo na hakuwa amepokea malipo yoyote, alivyofika kule Magdi Barsoum aliact kama mpatanishi kati ya Akasha na mdaiwa (mafia wa kiyougoslavia). Kabla ya kwenda Amsterdam Ibrahim alianza kuwatishia hao mafia na kumteka mmoja wao hao mafia uko Mombasa na kusema hatomuachia mpaka alipwe malipo yake.

Siku aliyokumbwa na mauti alikuwa anatembea kwenye mtaa unaoitwa Bloedstraat yeye na mkewe Gazi Hayat na baadhi ya marafiki zake wa kikenya, Akasha alipigwa risasi sita na muuaji aliyekuwa kwenye pikipiki.

Sam Klepper aliuliwa miezi mitano baadaye, Magdi Barsoum alipigwa risasi 2002 na Mounir Barsoum alipigwa risasi kwenye mtaa ambao Ibrahim Akasha alipigiwa risasi mwaka 2004 style iliyotumika ni kama iliyotumika kumuua Akasha.

Tukirudi Mombasa mtoto wa Akasha, Kamaldin Akasha alipigwa risasi na kuuliwa mwaka 2002 haijulikani kama alirithi biashara za baba yake au la, kuna mwingine anaitwa Baktash Akasha kila siku yuko kwenye matatizo na sheria na kutwa kutishia tishia watu, mwaka 2011 mkewe alikutwa amekufa katika mazingira ya kutatanisha inasemekana alikuwa anajishirikisha kwenye biashara ya madawa.

Huyo Nurdin Akasha sijui alijificha wapi.

Mkuu, kati ya Ibrahim Akasha na Nurdin Akasha nani hasa aliyekamatwa Tanzania? Ikiwa ni Nurdin ndiye akiyekamatwa, kuna uhusiano gani kati ya Nurdin na Ibrahim? Kwasasa kuna member yoyote wa familia ya Ibrahim Akasha anayeishi Tanzania?
 
Da Wakuu mmenikumbusha mbali sana. Hivi vipi kuhusu mwanamama aliyekuwa anaitwa Simbaulanga?

Sarah Martin Simbaulanga kesi ya utakasaji wa pesa ya kwanza ambayo kwa waTz wengi kipindi kile kupitia mfululizo wa makala ktk gazeti la uhuru ilkua kama movie dah tumetoka mbali sana 30 million! Pesa mingi sana enzi hzo

Ina maana Sarah Simbaulanga naye alikuwa anafanya biashara ya unga? Kwasasa yuko wapi?
 
Mkuu, kati ya Ibrahim Akasha na Nurdin Akasha nani hasa aliyekamatwa Tanzania? Ikiwa ni Nurdin ndiye akiyekamatwa, kuna uhusiano gani kati ya Nurdin na Ibrahim? Kwasasa kuna member yoyote wa familia ya Ibrahim Akasha anayeishi Tanzania?

Aliyekamatwa Tanzania ni Nurdin Akasha ambaye ni mtoto wa Ibrahim Akasha kutoka kwa mke wake wa kwanza anayeitwa Karama. Kwa kweli sijui kama kuna Akasha yoyote anayeishi Tanzania, labda wawe wanakuja kufuatilia biashara zao maana madawa yao mengi wanayasafirisha kwa magari kwenda kusini mwa afrika (kutoka Mombasa wanayapitishia Tanga na kuendelea kusini).
 
dah hii thread imenifurahisha sana,lakini nadhani hawa wa kina akasha hawakujua wadeal na watu wa aina gani,walifanya nao biashara na wakaanza kuwatishia...kweny kitabu cha 48 Rule of power,rule no 16 inasema,Knows who you dealing with...RIP Akasha family,lakini kinachonishangaza,Mafia huwa hawaui member wa familia ambae hashiriki kwenye biashara ya familia,au mwanamke,iweje watoto na mke na ndugu wauawe? eqylpz,any idea?

Point of correction: Kitabu: the 48 Laws of Power na kanuni (rule) = 19 sio 16 (16 ina sema use absence to increase Respect and honour)
 
Ina maana Sarah Simbaulanga naye alikuwa anafanya biashara ya unga? Kwasasa yuko wapi?

Hapana simbaulanga alikua mtumishi wa Benki kuu aliyelaghaiwa na mpenziwe kuiba fedha za benki kuu, baadae akakimbilia uingereza yeye pamoja na watoto wake, kosa lake kubwa lilikua kukosa viza ambapo akikamatwa uwanja wa ndege, mpenziwe alikamatwa kenya laikotorokea na kutumia fedha za wizi kununulia magari ya biashara
 
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi.
 
Thanks for clarification.

Tupo pamoja.
 
Hapana simbaulanga alikua mtumishi wa Benki kuu aliyelaghaiwa na mpenziwe kuiba fedha za benki kuu, baadae akakimbilia uingereza yeye pamoja na watoto wake, kosa lake kubwa lilikua kukosa viza ambapo akikamatwa uwanja wa ndege, mpenziwe alikamatwa kenya laikotorokea na kutumia fedha za wizi kununulia magari ya biashara
siyo kwamba alikuwa mtumishi wa NBC kitengo cha pesa za kigeni?

cc: Mnyamahodzo
 
Last edited by a moderator:
.. mossad 11mtandao huo hauishi, akitoka huyu anaingiaaaa mwingine
 
Huo mtandao hautaweza kwisha uko zaidi y karne madon n magodfather ndio wanaendesha,kma umeangalia movie za godfather utaona jinsi mtandao ulivyo,ukidhulumu wewe n kizazi chako mnapotezwa kabisa
 
Last edited by a moderator:
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom