Madaw ya kulevya

KATIZAJI

Member
Oct 11, 2007
58
5
Hivi mbwa wa Polisi hawaruhusiwi kunusa mizigo ya waheshimiwa wanapoingia/wanaporudi nchini kutoka ziarani nchi za nje, maana kuna mjumbe wa Baraza la Wawakilishi kasema viongozi ndio wanaingiza madawa ya kulevya!
Ni kwa nini hawa wanaotuharibia vijana (Nguvu ya Taifa) wanaendelea na uchafu wao na serikali inajua (JK aliwaambia Maaskofu), halafu mwisho wa siku hakuna kinachofanyika! Tufanye nini kulinusuru Taifa?
 
Haya mambo sasa yanachanganya, inawezekana mjumbe wa baraza la wawakilishi ana uelewa fulani kuhusu hizi safari za viongozi wakuu wa nchi zinazohusisha watu kibao pengine zinamaslahi ya madawa. inabidi tuanze kudai taarifa za watu wanaoandamana na wakuu wetu wanaosafiri bila kukoma kwenda nje ya nchi, tujue majukumu yao na sababu za kuwepo kwenye hiyo misafara.
 
Kwani hata madawa mengine inawezekana yanaingwiza na watu wa Magogoni, lisemwalo lipo na kama halipo linakuja
 
Back
Top Bottom