Madampo Yote Tuyape Majina Ya Mafisadi.

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GrEatThinkers,

Nimetafakari sana nimeona kwa kuwa Inafaa yale madampo ya Uchafu tuyape majina ya viongozi wezi,wahuni, wavunja sheria nk.

Hii itaturahishia kuwakumbuka milele, kizazi baada ya kizazi. Majina yao yatabaki kuwa ni kinyaa machoni mwa watanzania.

1: Dampo la Pugu-Liitwe Mackamba Dampo
2:Dampo la Kurasini-Liitwe RostArm Dampo
3:................................
4:................................



Orodhesha Dampo lako halafu pendekeza Jina.:peep:
 
Dampo la Kawe-kwa mujibu wa kifungu cha(1) ibara ndogo ya (iv) naidhinisha lipewe jina la Salum Londa Dampo.
 
Yap,

Tena huyo linamfaa kabisaaaa, si alikuwa Kinondoni.
 
Dampo la uwanja wa fisi liitwe-Slaa

Dampo la pale mbezi mwisho liitwe- Mbowe

Dampo la Ngaranaro Arusha liitwe- Lema
 
Back
Top Bottom