MadameB,kipenzi changu mbona umenifungia nje usiku wote huu?

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Naomba unielewe mama watotowangu,nimetoka kwenye mihangaiko ya kutafuta riziki siunajua naamka asubuh na mapema wakati mwingie nawaacha watoto bado wawelala?.... madameB nifungulie basi mbu wa dar wananiuma.......
Sasa wee junior .Cux unafurahi nini mke wangu kunifungia nje?.....honey usisikilize majungu nifungulie tuyamalize wawili
 
Last edited by a moderator:

Kipenzi changu Ruhazwe JR,
Nahisi kukaribia kukuita X-wangu,
kwanza ni mihangaiko gani unatoka lukwiri, kurudi saa 7 kweusi?
Nahtaji talaka yangu,
P'se naomba uipenyeze chini ya mlango.
Kuna wengi wananifukuzia usiku na mchana hawanipati,ila wewe unaleta jeuri.
Unajua gari hili unaloweka kishoka tukienda Out kaninunulia nani?
Acha wanaojua thamani ya mke wakusaidie kulea.
Na sitafungua mlango mpaka Talaka imepenya chini ya mlango.
Na kwa taarifa yako, kaa ukijua kwamba hawa watoto 3 tuliokuwa nao,
Hakuna damu yako hata mmoja.
Wa 1 wa Mangi pale Dukani,
Wa 2 wa yule daktari pale Muhimbili na
Wa 3 ni wa yule aliyeninunulia gari unalopenda kuweka kishoka ukiwa unanipelekea nguo zangu Dry Cleaner.
Acha Mbu wakutafune.
 
Last edited by a moderator:
mama watoto ndoa kuvumiliana,naomba unifungulie tuongee kwanza,then mambo yataraka badae,kwanza hapa nilipo umeona ninanini?....chungulia dirishani uone zawadi niliokuchukulia....punguza jazba mi ntakuvumilia tu hata kama watoto si wangu cha msingi usiwatangazie watu..,kwani hata mie nimezaa na shoga yako yule wa salon tena watoto 2 na ile mimba ya msichana wetu wa ndani ni yangu pia.hiv nimechelewa kwa yule shoga yako ulie msimamia ndoa yake.we nifungulietu mke wangu tuyamalize
 
Naomba unielewe mama watotowangu,nimetoka kwenye mihangaiko ya kutafuta riziki siunajua naamka asubuh na mapema wakati mwingie nawaacha watoto bado wawelala?.... madameB nifungulie basi mbu wa dar wananiuma.......
Sasa wee junior .Cux unafurahi nini mke wangu kunifungia nje?.....honey usisikilize majungu nifungulie tuyamalize wawili

hahahahahaha kwikwikwikwi tehtehtehteh mbona hapo bado.. leo ndo utaionja tamu ya madame B.!!! pale ubungo bodo kuna nafasi lakn unaeza kwenda kulala au njo kwenye ghetto la hauz gal wang..
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaha kwikwikwikwi tehtehtehteh mbona hapo bado.. leo ndo utaionja tamu ya madame B.!!! pale ubungo bodo kuna nafasi lakn unaeza kwenda kulala au njo kwenye ghetto la hauz gal wang..

mwanaume nimepatikana leo,ntakomaa hapahapa mlangoni ila asubuh aibu.....iv mwenzangu yaliwai kukukuta kama haya niyokutana nayo?....dah mbu wananifaid wanafurahi mgao bila kulipia
 
Unajua gari hili unaloweka kishoka tukienda Out kaninunulia nani?

emh mwambie, maana namwonaga tu anapita nalo hapa supermarket hajui ka ilo ni jasho langu.. tena ata kuendesha hajui, anapgapga honi tu watu wamwone.!!
 
jamani mambo ya gari tuyaache kwanza.....kikubwa mke wangu MadameB nifungulie unaona mpaka Junior kaanza masimango
 
mwanaume nimepatikana leo,ntakomaa hapahapa mlangoni ila asubuh aibu.....iv mwenzangu yaliwai kukukuta kama haya niyokutana nayo?....dah mbu wananifaid wanafurahi mgao bila kulipia

mi nlikua namkomesha, hapo pembeni kuna kagheto ka shoga yake akizingua nlikua naenda kulala hapo... kelele zake, lazma aje mwenyewe dirishani kunibembeleza nirudi
 
Wee..!!?
Cux unasemaje?
Unaamua kumwaga data eheee!!
Haya mkimaliza mnambie.
 
dah!mi leo nimedata..,maana hata shoga yake leo kavusha...hivi najipanga kwenda kumuamsha mjumbe aje anisaidie
 
Wee..!!?
Cux unasemaje?
Unaamua kumwaga data eheee!!
Haya mkimaliza mnambie.

dear! Jamani kumbuka mi mzazi mwenzio naomba unifungulie......mbona mimi nilikukuta hujui hata ku-do nikakufundisha maana ulikua unalala kama gogo....leo hii ndo unaninyanyasa hv
 
mama watoto ndoa kuvumiliana,naomba unifungulie tuongee kwanza,then mambo yataraka badae,kwanza hapa nilipo umeona ninanini?....chungulia dirishani uone zawadi niliokuchukulia....punguza jazba mi ntakuvumilia tu hata kama watoto si wangu cha msingi usiwatangazie watu..,kwani hata mie nimezaa na shoga yako yule wa salon tena watoto 2 na ile mimba ya msichana wetu wa ndani ni yangu pia.hiv nimechelewa kwa yule shoga yako ulie msimamia ndoa yake.we nifungulietu mke wangu tuyamalize

Ahaa!
Kumbe ni yule shoga yangu Suzy wa pale Saloon.???
Kama ndo yule poa we m-bebe tu,maana tumewekeana dau,ye azae na wewe na mimi nizae na mumewe.
Hata roho hainidoboi...!!!
Aii..!!
Asa unan'letea zawadi ya Kaptura me ya nini?
Kampelekee Suzy wako.
Na kuanzia dk hii,marufuku kupanda usafiri wangu,utatembelea kwato zako mpaka ziishe.
 
emh mwambie, maana namwonaga tu anapita nalo hapa supermarket hajui ka ilo ni jasho langu.. tena ata kuendesha hajui, anapgapga honi tu watu wamwone.!!

Mwenzangu..!!! Ananitia aibu tu kwa majirani,kazi kupiga honi tu.
Kwanza me hata sikumpenda,
nimelazimishwa tu niolewe nae,cjui alitoa rushwa kwa wazazi wangu..!!!
 
Ahaa!
Kumbe ni yule shoga yangu Suzy wa pale Saloon.???
Kama ndo yule poa we m-bebe tu,maana tumewekeana dau,ye azae na wewe na mimi nizae na mumewe.
Hata roho hainidoboi...!!!
Aii..!!
Asa unan'letea zawadi ya Kaptura me ya nini?
Kampelekee Suzy wako.
Na kuanzia dk hii,marufuku kupanda usafiri wangu,utatembelea kwato zako mpaka ziishe.

sawa yote nayakubali....,basi nifungulie mbu wananiua.we fungua kwanza niende uwani alafu ndo tuyamalize
 
dear! Jamani kumbuka mi mzazi mwenzio naomba unifungulie......mbona mimi nilikukuta hujui hata ku-do nikakufundisha maana ulikua unalala kama gogo....leo hii ndo unaninyanyasa hv

Hivi ukitaka ku do na madame b si ni mpaka akaoge kwanza maana iyo make up...dayuuuum!!!! Hehehehe...khabar ya asubuhi...
 
Pole ruhazwe,sasa kazini utakwendaje? Au kakufungulia asubuhi ili uoge.
Ama kweli ndoa nyingine full usanii.
 
Back
Top Bottom