Madame Ritha Paulsen

Status
Not open for further replies.

Balantanda

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
12,476
4,752
Binafsi navutiwa sana na huyu dada/mama kwa jinsi anavyojituma katika shughuli zake hasa katika kampuni ya BenchMark Production ambayo naweza nikasema ndiyo kampuni bora zaidi kwa uzalishaji wa 'video' za muziki na matangazo mbalimbali ya biashara kwa Bongo na uandaaji wa majukwaa ambayo hutumika kwa matukio mbalimbali kama vile mashindano ya Miss Tanzania nk..Pia dada huyu ni mbunifu wa program za Bongo Star Search na Mchezo Wimbo ambazo kwa kiasi kikubwa zimesaidia kuibua vipaji vya muziki vilivyokuwa vimejificha kwa baadhi ya vijana wa Tz..Kwa haya machache naomba kumpongeza dada yetu..Keep it up Madame
 
Mhh.......!!!! watakuja ooh! tunaingilia maisha binafsi...huyu anatofauti gani na Da Emelda Mwamanga? kama tukianza kumwaga upupu wa Ritha patakuwa hapatoshi hapa...

attachment.php
 

Attachments

  • gggg.jpg
    gggg.jpg
    21.5 KB · Views: 2,380
Mhh.......!!!! watakuja ooh! tunaingilia maisha binafsi...huyu anatofauti gani na Da Emelda Mwamanga? kama tukianza kumwaga upupu wa Ritha patakuwa hapatoshi hapa...

attachment.php

The pic says it all!
 
ni mtoto niya mtoloa macho kila nikimuona kwenye TV ni mzuri ktk kila idara sema sijui km [*******].Wache wapangawe hata mimi pia ningepagawa kwa uzuri wake sema sina mpunga inabidi nitulize [******].

Ni kweli JF is where we dare talk openly BUT maneno haya yana mahala pake.Muombe invisible ruhusa ya kuingia huko.
 
Last edited by a moderator:
[Mkuu Winu: Haya maneno ni MAZITO mno kuyaweka hapa,kama vp unaweza kuyahariri ama kuifuta kabisa post hii(ni ushauri tu mkuu wangu),cha msingi tuzungumzie ujasiriamali wa huyu dada na ni jinsi anavyofanikiwa katika shughuli zake,be blessed
 
Last edited by a moderator:
The pic says it all!
Umeona guu hilo?,type za GT....

Tuzungumzie ujasiamali wa mwanadada huyu towards Tanzania development....

Hivi aliwahi kuajiliwa?

Je,mtaji wa kufungua coy ile alikopa wapi? naulzia ili na wakinamama wenzake waige mfano.....huyu dada namzimia kiutendaji....
 
Umeona guu hilo?,type za GT....

Tuzungumzie ujasiamali wa mwanadada huyu towards Tanzania development....

Hivi aliwahi kuajiliwa?

Je,mtaji wa kufungua coy ile alikopa wapi? naulzia ili na wakinamama wenzake waige mfano.....huyu dada namzimia kiutendaji....

Strength of a woman
 
Umeona guu hilo?,type za GT....

Tuzungumzie ujasiamali wa mwanadada huyu towards Tanzania development....

Hivi aliwahi kuajiliwa?

Je,mtaji wa kufungua coy ile alikopa wapi? naulzia ili na wakinamama wenzake waige mfano.....huyu dada namzimia kiutendaji....

Now you are talking
 
Ili JF tuendelee kuwa development forum, jadilini mafanikio ya Madame Rita na contructive criticisim. Mwacheni Mzee Mengi kado. Benchmark ni wazo lake Rita na mtaji alipata kwa Mzee.
Ni kweli Benchmark production ni moja ya makampuni bora kabisa za production. Ili sio bora kushinda zote maana hazijashindanishwa. Kuna vikampuni vidogo vidogo vya production vinachapa kazi benchmark cha mtoto. Kipimo rahisi ni kuangqlia video za wasanii wetu ama matangazo ya Tv, benchmark inaachwa mbali.
Binafsi Rita namkubali na mafanikio yake yanakubalika bila kupinga japo aliutumia uzuri wake kunasa buzi la nguvu kwa ajili ya maendeleo. Fundisho kwa dada zetu wachuna mabuzi, tumieni hizo hela kwa mtaji wa biashara. Huu pia ni uthibitisho hata uwe mzuri vipi, mabuzi yanamwisho.

Pamoja na mafanikio yote, Rita ana tatizo moja kubwa. Tatizo lake kubwa ana Deep Rooted Neorosis inayopelekea inferiority complex.

Rita ni mzuri tuu hata akiamka asubuhi kabla hajanawa anavutia, unapomuona Madame Rita anajiover make up na kuvaa mavazi ya visichana vya kileo, hili ni tatizo la chini chini la kutojiamini hivyo anajenga comfidemce on make-up kwa kujiremba kupindukia.
Rita hana haja ya kuover dress na over make-up to justfy her beauty.
Hata maofisini ukimuona mdada amejiremba sana kupita kiasi ama wale wavaa magold mengi matundu kibao masikioni ujue wanamatatizo sambamba na wavaa lundo la shanga.

Tatizo jingine kwenye bongo star search Madame alikuwa kama mjinga fulani. Salama alikuwa kichaa na ni kichaa kweli siyo mpaka aokote makopo ila alikuwa kichwa. Master J na Kitime walikuwa vichwa.- nilitegemea Madame Rita aonyeshe brain power yake lakini comments zake was nothing zaidi ya kuuza sura na urembo hivyo nahisi she is not inteligent.

Beauty alone is nothing, there must be something extra to complement the beuty. Kama mpaka Rita kaachwa?!.
 
Binafsi Rita namkubali na mafanikio yake yanakubalika bila kupinga japo aliutumia uzuri wake kunasa buzi la nguvu kwa ajili ya maendeleo.

Hiyo Capacity building method, ni ya aina yake!! Inafunzwa mashuleni?????

Fundisho kwa dada zetu wachuna mabuzi, tumieni hizo hela kwa mtaji wa biashara. Huu pia ni uthibitisho hata uwe mzuri vipi, mabuzi yanamwisho

Hivi huyo mzee wa vingunguti, alitemwa au alimtema Ritta!!!!!!
 
Hivi huyo mzee wa vingunguti, alitemwa au alimtema Ritta!!!!!!

Madame alitemwa. Sasa anaibuka na kitu ambacho kimempita Rita kila idara. Shhh... Low profile too private ninachoogopa usiweke wakati wa hicho kitoto kipya kutemwa maana mzee hazeeki na vitu vinazaliwa kila kukicha.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom