Madame B siamini, Kweli Wangu umenitoka.

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
29,946
32,164
Mpendwa Kipenzi changu cha Moyoni.
Ni siku moja tu tangu umenitoka,hakika siamini kama kifo kimetutenganisha.
Nakumbuka Mengi tuliyofanya tukiwa pamoja,
Nilikuogesha,Nilikupikia hata kukulisha huku nikikufanyia kila kitu ili usihadaike na watu wengine.
Japo muda mwingine ulinitia hasira kwa kuharibu Sofa zangu,Mashuka na hata vyakula vilivyopo ndani.
Nilivumilia yote kwa kuwa nilikuwa nakuhitaji mno.
Nilikupenda sana lakini Mungu alikupenda zaidi.
Namlaani sana jirani yangu kwa kukulisha sumu,akidai wewe ulimuibia,Lakini mbona hukuwahi kuiba nyumbani kwangu?
Nina uchungu,nina majonzi na masikitiko yasiyokoma,
Ila naamini ipo siku tutaonana na utanifuta machozi.
Tambua nakupenda sana Mbwa wangu Kipisi umeondoka wakati nakuhitaji.
Najua Panya watashangilia sana.
Ila.....(kilio na kwikwi... ndo hvo tena.
Utakumbukwa na wana JF Member's wenzangu wooote...!!!
Mashostito,Ma-brother man na Wakongwe woote wa JF CHITCHAT.
Na tuungane Kumuombea Kipisi wangu.

Mmiliki wako,
Madame B.
 
Kitabu cha kusaini kipo ila mpaka utaje kiasi utakachotoa Mkuu..!!
he! Mi najua umekufa kweli, nimeshalia na kujigaragaza chini na rambirambi nishaanza kupewa, kumbe hujafa weye ni kajibwa kamekufa! Ngoja nirudishe pesa za watu
 
post inatia mchecheto na moyo kuishiwa nguvu, kudhani nani tena huyo katutoka, kumbe ni kifo cha mbwa!!!:angry:
 
Mscheeeeeeeeeew....nkt..na mengine yote wanayotumiaga!! wewe..umenipa presha ati! nkajua shem ndo katutoka..
 
Whaaaaaat?
Kipisi is no more... Nakumbuka charminglady alitaka kumpa mwenza, bahati mbaya wakajikuta wote madume.
 
Last edited by a moderator:
kusoma tu mwanzo nikajuaa sasa Huko single nianze kuku PM,kumbe Mbwa au nawe hupo kwenye lile kundi la Madada wanao tumia Mbwa kujilizisha kimapenzi.
Hata hivyo Mazishi lini maana ulivyo lalamika kwenye thread kuhusu Mbwa wako.
 
napenda kutuma salamu za rambi rambi kwa wafiwa. . APEPO - Alale pema popote kipisi

....asante, Charm,
ila naomba nawe mbwa wako awe msimamizi mkuu au ulishamtafutia mke?
Maana nakumbuka enzi zileee...!!!
 
Back
Top Bottom