Madale, Mbopo, Magwepande hatuhesabiwi hatuna makazi!

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Kama kuna karani wa sensa asijisumbue kwani anaweza kuwa katika wakati mbaya.

Wadau hapa wameamua kutohesabiwa kwa kuwa serikali imefikia hatua ya kuwaita sio raia kuwa ni wakimbizi katika nchi yao wenyewe, mpango unafanyika watu kwenda kwenye ubalozi wa Canada kuomba hifadhi.
 
Inasikikitisha sana. Serikali huwa inakuwa wapi mpaka watu wanafikia hatua ya kujenga nyumba nzuri kisha zinakuja bomorewa kwa kusema wamevamia maeneo hayo. Huko si ni kuwatia hasara watu na kuwa wakimbizi ndani ya nchi yao? Hebu tusubiri upimaji wa maeneo hayo na hatima yake kwa watakaopewa. Ingekuwa ni kipindi cha uchaguzi wasingetimuliwa na kubomolewa nyumba zao. Si unajua tena aliyenacho hamkumbuki asiyekuwa nacho.
 
Inasikikitisha sana. Serikali huwa inakuwa wapi mpaka watu wanafikia hatua ya kujenga ya nyumba nzuri kisha zinakuja bomorewa kwa kusema wamevamia maeneo hayo. Huko si ni kuwatia hasara watu na kuwa wakimbizi ndani ya nchi yao? Hebu tusubiri upimaji wa maeneo hayo na hatima yake kwa watakaopewa. Ingekuwa ni kipindi cha uchaguzi wasingetimuliwa na kuborewa nyumba zao. Si unajua tena aliyenacho hamkumbuki asiyekuwa nacho.

Kuvamia makazi ya mtu ni kosa la jinai. Hawa jamaa wamekuwa wakivamiwa maeneo ya watu na kudai ni yao. Tabia hii haifai kabisa kuendelezwa Tanzania.
 
SERIKALI SIKIVU NDIYO HII! Hili zoezi la sensa wangerudi nyuma likaahirishwa tu!
 
Back
Top Bottom