Madaktri Interns Mbeya wakuzwa kwenye makazi yao

Whisper

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
502
207
Madaktari Interns wa Hospitali ya Rufaa Mbeya wameamriwa kuhama haraka iwezekanavyo katika hosteli za hospitali hiyo. Majengo ya hosteli hizo yamezingirwa na askari wa kuzuia ghasia na makachero wa kutosha huku wakiwa na silaha za kivita na nguo zao mwezini. Vijana wamekuwa busy wakihamisha mali zao na kwenda wanakokujua wao. Ingawa kuna askari wengi lakini utulivu umeonekana kwa vijana hawa na mazingira kwa ujumla. Inasemekana ifikapo saa 12 jioni hatakiwi kuonekana mtu katika eneo hilo.

Source: Machi yangu mwenyewe
 
edit thred zako sio "madakri wakuzwa"
ni madaktari wafukuzwa?
kingine hizi thred ziko mbili futa moja.
 
madaktari msirudi nyuma huu ni wakati wa kushikamana more than ever, mkitengana mtanyanyaswa milele
 
Askari wa Tanzania na vyombo vya usalama kwa ujumla, vinaweza kuwakandamiza watu wasio na hatia tu? Lakini hawaweza kuwakamata hata wapiga nondo wa Mbeya, wezi wa mali za umma ambao ndio hasa chanzo cha haya yote masikini polisi wetu hawawawezi.
 
ni wakati wa kazi wala si wakuremba,hakuna kukubali mwananchi kunyanyasika!kwa kuwa madoctor mmejifanya mupo juu kuliko chombo chochote cha sheria ni wakati muwafaka wa kupewa kisomo!
 
Acha watimuliwe! Hao ni wabinafsi,maisha ni magumu kwa wafanyakazi wote! Ila wao wamependelewa sana! Kweli nimeamini mtoto ukimpenda kwa kumdekeza baadae atakusumbua kwa tabia mbaya.Let them go!
 
Back
Top Bottom