MadaktraInterns Mbeya wakuzwa kwenye makazi yao

Whisper

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
502
207
Madaktari Interns wa Hospitali ya Rufaa Mbeya wameamriwa kuhama haraka iwezekanavyo katika hosteli za hospitali hiyo. Majengo ya hosteli hizo yamezingirwa na askari wa kuzuia ghasia na makachero wa kutosha huku wakiwa na silaha za kivita na nguo zao mwezini. Vijana wamekuwa busy wakihamisha mali zao na kwenda wanakokujua wao. Ingawa kuna askari wengi lakini utulivu umeonekana kwa vijana hawa na mazingira kwa ujumla. Inasemekana ifikapo saa 12 jioni hatakiwi kuonekana mtu katika eneo hilo.

Source: Machi yangu mwenyewe
 
Rekebisha Heading isomeke WAFUKUZWA.
Lakini kisa cha kuwafukuza ninini? ndugu hujatutendea haki kuleta taarifa nusunusu hivi.
Je ni kwamba wameungana na wenzao nchini kote kwenye mgomo?
 
Mkuu embu tulia tuandikie kitu kinachoeleweka punguza presha
 
Inakuwaje hii tena, wakati mkuu wa goverment bungeni amesema anaachia mhimili wa mahakama, ili bunge lisiingilie mhimili huo??????? au ndio mahakama imeamuru hayo ?????? inashangaza!!!!
 
mbona wa Muhimbili hawafukuzwi?
Nionacho bora hospital ziboreshwe kwa kupewa madawa,vifaa vya kutolea huduma. Then posho zizingatiwe kwani doctors work in hard condition
 
Back
Top Bottom