Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 6,403
- 8,891
Hivi ni kwa nini madaktari (afya) wote au wengi wanatumia Dr. kabla ya majina yao hata kama hawana PhD?
Mimi nilifikiri Dr. ni kwa watu waliosomea PhD au labda waliotunukiwa kieheshima na chuo fulani, sasa nashangaaa mara nyingi nakutana na madaktari (afya) wengi wao wakiwa na degree moja tu lakini wanatumia Dr. kwenye majina yao, Je ni sawa, au kuna tofauti na Dr. ya PhD?