Africa_Spring
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 426
- 111
Ndumbayeye,
Bora uwaambie hawa madaktari wachumia tumbo. Hamna aliyewakataza na wao kwenda kugombania ubunge mmbona Kangwalangwala yupo kule na ni daktari mwenzao? Wajipange upya madai yao ni rubbish tupu!
mawazo hafifu kama haya yanasababisha nchi hizo za africa zishindwe kuendelea, tafuteni hoja za kujenga na sio kubomoa... Nadhani kwakweli dunia inahitaji vitakuu ya dunia ya 3 ilikupata NWO ambayo inaweza tia tija mpaka nchi zetu pia.