MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,304
- Thread starter
- #101
Mvumbuzi hukujibu maswali yangu.
Mgonjwa wako ana diagnosis gani?
Tunaweza kukusaidia ushauri kwa nini alipewa/kunyimwa drip na kupewa discharge ili khali wewe unaona anatakiwa kubaki.
Hakuna kipimo chochote alichofanyiwa hapo Mount Meru ila hana HIV kwani tulishamfanyia vipimo vyote selian Hospital. Alikuwa na dysphagia na wakawa wanafikiri ana kifua kikuu kutokana na kila akila ana kohoa na chakula kutoshuka kooni. Kwa hiyo wakasema wana suspect inatokana na ESCC.