Madaktari watinga ikulu

Ina maan ahatuna ka-inzi kwa ajili ya update!!

Mliopo tz leteni update basi...
 
Quote "I guess kesho habari kuu kwenye media ni madaktari wasitisha mgomo na kurudi kazini,. anayebisha tu bet!!"



Uko sahihi kamanda wangu. Ni kweli MAT wametangaza muda mfupi ulipita kuwa mgomo umesitishwa rasmi baada ya kukutana na Rais na kujadili naye mambo kadhaa kwa kina na mwisho wa mazungumzo yao wakaona ni busara kusitisha mgomo
 
JK AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA MADAKTARI IKULU LEO.


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na viongozi wa Chama Cha Madaktari nchini(MAT) Ikulu jijini Dar es salaam. (Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu).
Mbona JK peke yake ndo mwenye "juisi"?
 
Back
Top Bottom