Madaktari wasema hawataikimbia nchi kisa maslahi mabovu

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
wamesema kamwe hawatatoroka kwenda nchi nyingine kisa mazingira mabaya ya kazi hapa nchini.kamwe hawatakimbilia botswana,malawi,lesotho au rwanda.wamesema watapigania maslahi yao hapa hapa tanzania ili yaboreshwe na kuwasaidia watanzania wenzao.viva madaktari kwa kuwa wazalendo.
 
kwani madakatari wamezaliwa wapi?

madakatari wamesomeshwa na nani?

kwani madaktari wanafanya kazi kwa maslahi ya nani?

madaktari ni wananchi wazalendo wenye uchungu na nchi hii!

madaktari hawashindwi kuwa wanasiasa lakini serikali isiwe kikwazo kwa madaktari kutimiza malengo yao.
 
Hata mwanzoni walisema hawatagoma. Mwisho wamegoma na wanaendelea kugoma nchi nzima. Na wala tusidanganyane hawa wajamaa wakipata maslahi mazuri watachomoka mmoja mmoja. Hakuna asietaka maslahi bora.
 
Hawa waliobaki ni mabaki ya madaktari, madaktari wa uhakika wako nje ya Tanzania, hivi vinavyogoma goma ni vi intern hata pesa bado hawaijui ni nini. Kungekuwa na madaktari hapa tungeona wanene wanavyokwenda kutibiwa nje? mstake ncheke.
 
Business as usual!
 
Hata mwanzoni walisema hawatagoma. Mwisho wamegoma na wanaendelea kugoma nchi nzima. Na wala tusidanganyane hawa wajamaa wakipata maslahi mazuri watachomoka mmoja mmoja. Hakuna asietaka maslahi bora.
wamepigania maslahi bora kwa miaka mingi bila mafanikio,wamekimbia nchi kwa miaka mingi,lakini sasa wametamka rasmi kwamba mwisho wa kukimbia nchi na kuwaacha watanzania wakiteseka ni sasa!!
 
Hawa waliobaki ni mabaki ya madaktari, madaktari wa uhakika wako nje ya Tanzania, hivi vinavyogoma goma ni vi intern hata pesa bado hawaijui ni nini. Kungekuwa na madaktari hapa tungeona wanene wanavyokwenda kutibiwa nje? mstake ncheke.
wanene wanatibiwa nje kwa sababu ni njia ya kula pale wizarani.jiulize mgonjwa mmoja anagharimu sh ngapi kwenda india?kwa nini hao wataalamu wa india wasiajiriwe hapa nchini ?
 
Hapa kuna Madakitari wazuri san na Bingwa ukiwajali wana uwezo hata kuliko hao wahindi jamani hebu chonde chonde serikali waoneeni huruma wanosubiri kujifungua wiki hii. MUNGU waongoze viongozi na wanasiasa wlione hili kwa taifa letu.Farau alipigwa mapigo kutokana na moyo mgumu. Musa uko wapi uokoe Tanzania.
 
Back
Top Bottom