Madaktari wanapochezewa na Serikali

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,217
1,259
Kuna waraka ulitolewa na serikali mwaka 2010, ukihusisha malipo ya muda wa ziada, kwa watumishi wa serikali wanaofanya kazi muda wa ziada baada ya saa za kazi (ukilenga zaidi watumishi hasa wa afya). Bahati mbaya waraka huo haujawahi kutekelezwa na ukafichwa kapuni kwa madai serikali haina pesa wakati watumishi wengine wakizidi kupandishiwa. Pamoja na hilo, budge za 2010/2011, 2011/2012 na 2012/2013 zimeshindwa kufikia kiwango husika.
View attachment 57249
utumishi2.jpg
 
Kuna waraka ulitolewa na serikali mwaka 2010, ukihusisha nyongeza ya malipo ya muda wa ziada, kwa watumishi wa serikali wanaofanya kazi muda wa ziada (walengwa wakubwa wakiwa watumishi wa afya). Bahati mbaya waraka tajwa haukuwahi tekelezwa kwa madai serikali haina pesa na ukafichwa kapuni. Pamoja na hilo, budget za 2011/2012 na 2012/2013 zimeshindwa kufikia kiwango husika kilichopendekezwa na kutaka kutekelezwa huko nyuma.
View attachment 57249
View attachment 57250
 
Msipokuwa Wakija na makini, udhaifu huu utawamaliza. Inasikitisha sana dharau hii.
 
Back
Top Bottom