madaktari wanahitajika nchi wanachama wa EAC na SADC

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Kuna taarifa za kuaminika baadhi ya madaktari waliotishwa au kufutiwa leseni hapa nchi wamefunguliwa milango ktk Balozi za baadhi ya nchi kama RWanda, Burundi, Namibia, Afrika ya Kusini, Zambia nk ili wakahudumu katika nchi hizo ambapo watapatiwa vibali vya kufanya kazi na kujiendeleza. Inadaiwa tayari baadhi ya madaktari wamekwishatimikia nje ya Tanzania ambapo maslahi ni bora zaidi. Hii inatokea katika wakati ambapo nchi iliyowasomesha inaendeleza siasa kuhusu hatima ya madaktari wanafunzi...
 
Back
Top Bottom