Madaktari wamuweka JK kikaangoni! Ni kuhusu uamuzi wa kumfukuza kazi Dr Mponda

Status
Not open for further replies.
Imenisikitisha sana niliposikia tamko la madaktari kupitia ITV habari mpasuka kuwa wataendelea na mgomo ikiwa wabaya wao Dr Haji Mponda na Dr Nkya wataendelea kuwepo wizara ya afya kama mawaziri, kwa mjibu wa ITV, madaktari hao wameipa Serikali siku nne hadi Jumatano ijayo saa 2;00 asbh iwe imewaondoa wabaya wao lasivyo mgomo utaendelea. Kwa kauli hii ya madaktari namuomba JAKAYA atumie busara kuchagua kuendelea kumkubatia huyo waziri na naibu wake na watanzania wasio na hatia waendelee kufa kwa vifo visivyo vya lazima ama awatimue ili kuondokana na janga hilo.

Taratibu Madaktari mtasababisha ****** apange safari ya ghafla , bora mngegoma kula !!
 
Na huo mtindo wake (Kikwete) wa kusubiri matatizo yajitatue yenyewe, safari huu utamtokea puani
 
jins alivoliongelea tatizo la ma dr. alionekana kuamini kuwa mgogoro umekwisha. Bila kujiuliza input ndogo vile ingeletaje effect kubwa kiasi kile
 
Katika maisha ya uongozi hakuna hatua mbaya kama kufanya kazi kwa mashinikizo, kifupi mashinikizo yanapoka madaraka yako kwa kuondoa options zote isipokuwa za wagomaji tu.

Ona sasa rais alikuwa na muda wa kuact kipindi kile na hakuna mtu ambaye angemlau lakini hakufanya proper timing sasa yupo kikaangoni, ngoja tuone episode nyingine ya movie hii ya madokta.
 
jins alivoliongelea tatizo la ma dr. alionekana kuamini kuwa mgogoro umekwisha. Bila kujiuliza input ndogo vile ingeletaje effect kubwa kiasi kile

Lilikuwa ni kosa kubwa sana kuamini mgomo umekwisha bila kufanyia kazi mapendekezo ya madaktari ambayo walishaweka wazi hawamtaki Dr. Mponda na mwenzake.

Kulindana ndiko kunakotuharibia nchi,
 
maskini kikwete.....kuna haja ya kuhariri wahenga wetu waliosema
dereva hafundishwi kona...,kwa hilo naona taya ri keshafundishwa.
 
Atumie akili zake achanganye na mbayuwayu a solve mgomo huu wa madaktari ambao saizi wamegonga bull moja moja kwa mezani kwake. Tabia yake ya kufumbia macho matatizo ni lazima aachane nayo, atoe kauli yake kama rais maana ni yeye aliyepewa mashinikizo.

Afanye kama safari za nje asivyopenda kuwakilishwa na hili sakata la madokta asiwakilishwe na yoyote yule bali alisemee mwenyewe ili kunusuru hali mbaya inayoweza kujitokeza.
 
kimsingi majadiliano kati yamadaktari na serikali yanatakiwa kuanza iwapo hawa wawili wataondolewa,utafanyaje majadiliano na serikali ambayo inaweza kuwakilishwa na ujumbe wa wizara ya afya?hivyo kikwazo cha majadiliano kati ya serikali na madr ni hawa mawaziri,they must go!!kama pinda alivyoahidi.
 
Kwa hali ilivyo sasa inabidi JK achukue maamuzi magumu, vinginevyo akiwafukuza mawaziri kwa shinikizo la ma-Dr, ataendelea kupata mashinikizo kama haya kila wakati na kutoka nyanja tofauti.

Uamuzi mgumu ni; iwapo watagoma, awape ultimatum, wakipuuza awapige chini wote. Kisha atangaze nafasi za kazi za udaktari - dunia nzima iruhusiwe ku-apply kwa mkataba wa miaka miwili. Fedha za dharura (kama inavyokuwa wakati wa hali ya hatari) zitatumika kuwalipa hadi mawaziri wazalendo watakapopatikana kwa malipo ya kawaida. Wale waliofukuzwa wanaweza kuomba kurejeshwa kazini na watarejeshwa baada ya kukubaliana na masharti yatakayowekwa.
 
Huitaji kuwa na PHD kuliona hilo lakini kulitolea uamuzi linaweza kuwa na vikwazo kwa sababu ya kulindana. Nasubiri kuona hekima ya JK kama atakubali kuona nchi inaingia tena katika mgomo wa madokta kisa watu wawili.
 
Ni mategemeo yetu wananchi kuwa hatua madhubuti zitachukuliwa bila kuathiri huduma mahospitalini. Hili ni shinikizo na siku zote serikali haifanyi kazi zake kwa kushinikizwa na kundi fulani la watu.
 
Kamati ya majadiliano kwa upande wa serikali na madaktari haikuwa na uwakilishi wa wizara ya afya na wakadai ni vyema wawepo kwani ni watekelezaji na shida ikawa je mambo yatenda wale mafahali wawili wakiendelea kuwepo?Pinda alisema watakukuzwa na raisi na alitoa ahadi hiyo na ndo maana leo watu wanamshangaa jk kwani ni lazima waliongea na pinda kabla ya pinda kuja kuongea na madaktari
 
Kwa hali ilivyo sasa inabidi JK achukue maamuzi magumu, vinginevyo akiwafukuza mawaziri kwa shinikizo la ma-Dr, ataendelea kupata mashinikizo kama haya kila wakati na kutoka nyanja tofauti.

Uamuzi mgumu ni; iwapo watagoma, awape ultimatum, wakipuuza awapige chini wote. Kisha atangaze nafasi za kazi za udaktari - dunia nzima iruhusiwe ku-apply kwa mkataba wa miaka miwili. Fedha za dharura (kama inavyokuwa wakati wa hali ya hatari) zitatumika kuwalipa hadi mawaziri wazalendo watakapopatikana kwa malipo ya kawaida. Wale waliofukuzwa wanaweza kuomba kurejeshwa kazini na watarejeshwa baada ya kukubaliana na masharti yatakayowekwa.
Tatizo linalotukabili ni kuwa Kikwete anaonekana hana uwezo wa kuchukua maamuzi magumu... hisotoria inamuonyesha hivyo, hata kwenye suala hili la madaktari
 
Kwa hali ilivyo sasa inabidi JK achukue maamuzi magumu, vinginevyo akiwafukuza mawaziri kwa shinikizo la ma-Dr, ataendelea kupata mashinikizo kama haya kila wakati na kutoka nyanja tofauti.

Uamuzi mgumu ni; iwapo watagoma, awape ultimatum, wakipuuza awapige chini wote. Kisha atangaze nafasi za kazi za udaktari - dunia nzima iruhusiwe ku-apply kwa mkataba wa miaka miwili. Fedha za dharura (kama inavyokuwa wakati wa hali ya hatari) zitatumika kuwalipa hadi mawaziri wazalendo watakapopatikana kwa malipo ya kawaida. Wale waliofukuzwa wanaweza kuomba kurejeshwa kazini na watarejeshwa baada ya kukubaliana na masharti yatakayowekwa.

Nakubaliana na wewe lakini ujue ULIMBOKA sio MGAYA! Na kama ndio mnamshauri mh. rais hivyo mjue wananchi watamfukuza pale ikulu!
 
Kwa hali ilivyo sasa inabidi JK achukue maamuzi magumu, vinginevyo akiwafukuza mawaziri kwa shinikizo la ma-Dr, ataendelea kupata mashinikizo kama haya kila wakati na kutoka nyanja tofauti.

Uamuzi mgumu ni; iwapo watagoma, awape ultimatum, wakipuuza awapige chini wote. Kisha atangaze nafasi za kazi za udaktari - dunia nzima iruhusiwe ku-apply kwa mkataba wa miaka miwili. Fedha za dharura (kama inavyokuwa wakati wa hali ya hatari) zitatumika kuwalipa hadi mawaziri wazalendo watakapopatikana kwa malipo ya kawaida. Wale waliofukuzwa wanaweza kuomba kurejeshwa kazini na watarejeshwa baada ya kukubaliana na masharti yatakayowekwa.

Kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeh!!!!
Siyo rahiso mkuu, kuajiri madokta toka duniani kote ni sawa na Tanzania kuingia vitani tena full vita. Tunashindwa kuwalipa madokta hawa mishahara ya Tshs 1.5m itaweza kumlipa non resident ambaye msharaha wake lazima uanzie 3,000$?
Nchi yetu haipo vizuri saizi kifedha kama wakati JK anaachiwa nchi hivyo maamuzi kama hayo labda tukapige magoti kwa wafadhili tusaidiwe.

Ni lazima watu wawili watolewe kafara ili kunusuri wengi, principal ya wayahudi waliyotumia ili wamsulubu Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai.
 
Hivi jamani utakubali kuongoza watu wasio kutaka na kutokuwa na imani na wewe?..Ewe Mponda na dada yako mfanye hima MJIUZULU!..hatutaki watu wafe tena kama kuku!
 
Kwa hali ilivyo sasa inabidi JK achukue maamuzi magumu, vinginevyo akiwafukuza mawaziri kwa shinikizo la ma-Dr, ataendelea kupata mashinikizo kama haya kila wakati na kutoka nyanja tofauti.

Uamuzi mgumu ni; iwapo watagoma, awape ultimatum, wakipuuza awapige chini wote. Kisha atangaze nafasi za kazi za udaktari - dunia nzima iruhusiwe ku-apply kwa mkataba wa miaka miwili. Fedha za dharura (kama inavyokuwa wakati wa hali ya hatari) zitatumika kuwalipa hadi mawaziri wazalendo watakapopatikana kwa malipo ya kawaida. Wale waliofukuzwa wanaweza kuomba kurejeshwa kazini na watarejeshwa baada ya kukubaliana na masharti yatakayowekwa.

This will be a suicidal boom politically. Iam afraid if he can opt that expensive approach
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom