Madaktari wamuweka JK kikaangoni! Ni kuhusu uamuzi wa kumfukuza kazi Dr Mponda

Status
Not open for further replies.
Kwavile busara ni adimu huyu mkweree hatawaondoa hao mawaziri; matokeo yake madaktari watagoma tena na wananchi wengi kupoteza maisha tena na yeye kwenda kuhudhuria mazishi!! Hiyo ndio busara ya Vasco!!

Nadhani yeye anadhani wanavyokufa ni kura za cdm anapunguza kumbe ndo anajipalia makaa
 
Wanacheza na Vasco da Gama! Jamaa ataziba masikio, madaktari watagoma, wananchi watakufa kwa kukosa matibabu, atamtuma muombolezaji aka Pinda, Pinda ataomboleza na kuwabembeleza madaktari, madaktari watasitisha mgomo kwa ahadi bandia, Mponda na Nkya wataendelea na nyadhifa zao kama kawaida, Vasco da Gama ataendelea na safari zake nchi baada ya nchi, mwisho mtamuona kwenye runinga akicheka cheka bila kugusia suala la mgomo wa madaktari, 2015 watanzania watakirudisha CCM madarakani kama kawaida yao! Jamani watanzania, we acha tu! Kila mtu analalamika, hakuna anayechukua hatua...! Masikitiko ya kudumu.
 
Babamwanaasha it's time to act! Stop the comedy

Kikwete is the luckiest president ever, he came when we were ready to support him... hata aNGEamua kuwa rais kwa masaa sita tu the whole country INGEKUA behind him, but he cant even do that

NAUNGA MKONO MADAKTARI KWA NGUVU ZOTE
 
kAZI KWELI KWEALI KWA MHESHIMIWA. POLITICAL AND ECONOMICAL PROBLEMS FACING THE COUNTRY SOONER OR LATTER. VIONGOZI WAGONJWA WENGI, WANAOTAKIWA KUWAJIBISHWA NAO NDIYO HIVYO,HALMASHAURI ZA WILAYA NAZO ZIKO HOI HOI, WANAUANA TU , KAMA HIVI JUZI HAPO UYUI. HIZI BALAA ZINAZOTUKUMBA HAPA NCHINI KWETU ZINATOKEA WAPI?
 
Wanacheza na Vasco da Gama! Jamaa ataziba masikio, madaktari watagoma, wananchi watakufa kwa kukosa matibabu, atamtuma muombolezaji aka Pinda, Pinda ataomboleza na kuwabembeleza madaktari, madaktari watasitisha mgomo kwa ahadi bandia, Mponda na Nkya wataendelea na nyadhifa zao kama kawaida, Vasco da Gama ataendelea na safari zake nchi baada ya nchi, mwisho mtamuona kwenye runinga akicheka cheka bila kugusia suala la mgomo wa madaktari, 2015 watanzania watakirudisha CCM madarakani kama kawaida yao! Jamani watanzania, we acha tu! Kila mtu analalamika, hakuna anayechukua hatua...! Masikitiko ya kudumu.
aBSOLUTELY PLATINUM POST

its like that, and he knows it!!:A S-frusty2:
 
peasant's son is always playing his part refer to Jai saga PM did it to jai, JK did nothing to Ngele & mlima. MD's saga PM sacked Bulandi, Jk did nothing to mkia & mbonda. Now we know who is the wizard. Go on son of peasant
 
Nadhani kuna haja ya kuchagua maneno ya express distress dhidi ya jamaa lakini siyo hiyo ya kutapika kama mlevi wa matap tap!

Mkuu, nadhani hakuna sehemu nyingine muafaka zaidi ya jamvini... maana akijiexpress kwingine atanyonga watoto na mama yao, au atabeba gobore kabisa
 
peasant's son is always playing his part refer to Jai saga PM did it to jai, JK did nothing to Ngele & mlima. MD's saga PM sacked Bulandi, Jk did nothing to mkia & mbonda. Now we know who is the wizard. Go on son of peasant

hujaeleweka:doh:
 
Asiishie hapo kuna makopo mengi tu ya kutupa pale, yameshaisha muda wake
mama Nagu
Kawambwa
Mwakyembe (Mgonjwa)
Mwandosya (mgonjwa)
Ngeleja (hayuko serious)
Malima (boza)
Mponda (zero)
Nkya (conflict of interest, useless)
nk

hahahahahhaaaa.....BOZA??? Aseeee we jamaa wewe umenichekesha sana wewe!!!
 
peasant's son is always playing his part refer to Jai saga PM did it to jai, JK did nothing to Ngele & mlima. MD's saga PM sacked Bulandi, Jk did nothing to mkia & mbonda. Now we know who is the wizard. Go on son of peasant

probably yes, lakini peasant's son is also some sort of a retard in the making!!
 
Ni wakati mwingine tena wa kuwaangamiza watanzania kwa kutowapa huduma mahospitalini....anyway ngoja tuone mambo yatakavyokuwa...I hope serikali itachukua hatua stahili.
 
Mie nilishasema Jk ndie anaewaangusha watendaji wake. Halafu watu wanakimbilia kuwalaumu watendaji. Ona ile issue ya Richmond maazimio 23 ya bunge, kati yake yale yaliyomhusu Jk hakuyatekeleza na ndio iliyosababisha serikali kuwa na malumbano yasiyoisha mpaka watu kwa nafasi zao wamefanikiwa kuwawekea sumu wenzao. Kama wangeliwajibishwa sawasawa na maazimio ya bunge hizo nguvu na uwezo wa kuiburuza serikali wasingi kuwa nao.
JK=JANGA LA KITAIFA!!ìì
.
 
Nimefurahishwa na msimamo huu wa madaktari.Inasikitisha sana tena sana kuona rais ameshindwa kuchukua maamuzi mepesi kama hayo.Nimeamini hatuna rais,na damu ya watanzania itamlilia daima.
 
nachagua kutounga mkono mgomo wa madaktari ili kuokoa maisha ya watanzania wenzangu. Naunga mkono serikali na madaktari waendelee na mazungumzo kufikia muafaka.

Kwa walioshuhudia mateso ya wagonjwa na vifo vya watanzania wenzetu naamini wanaafiki kwamba serikali na madaktari warudi meza ya mazungumzo kabla ya hatua ya kugoma.
 
endless talk.!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom