Madaktari wamuweka JK kikaangoni! Ni kuhusu uamuzi wa kumfukuza kazi Dr Mponda

Status
Not open for further replies.

Ptz

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
541
384
Imenisikitisha sana niliposikia tamko la madaktari kupitia ITV habari mpasuka kuwa wataendelea na mgomo ikiwa wabaya wao Dr Haji Mponda na Dr Nkya wataendelea kuwepo wizara ya afya kama mawaziri, kwa mjibu wa ITV, madaktari hao wameipa Serikali siku nne hadi Jumatano ijayo saa 2;00 asbh iwe imewaondoa wabaya wao lasivyo mgomo utaendelea.

Kwa kauli hii ya madaktari namuomba JAKAYA atumie busara kuchagua kuendelea kumkubatia huyo waziri na naibu wake na watanzania wasio na hatia waendelee kufa kwa vifo visivyo vya lazima ama awatimue ili kuondokana na janga hilo.
 
Ikulu siyo mahali pa kukimbilia,kuna rais ninamhifadhi alipataga wakati mgumu kama huu wa 1. umeme kukatika bila mpangilio, mfumuko wa bei wa kuzidi %25,migomo madaktaRI walimu , rais huyu aliamua kukimbia inchi yake- IKULU SIYO MAHALI PA KUKIMBILIA.
 
Nani kawadanganya jk yupo kwa ajili ya kutatua matatizo yenu? Nadhani kwa hilo halimhusu labda umuulize ratiba ya kusafiri ndo anaijua. Poleni waTz cjui haya majanga ya kila siku yataisha lini

Ni muda nzuri wa kujua busara kwa Jk na timu yake
 
Whats wrong with this JK?
Why he can't improve himself? How
Did we manage to have a sloppy
Like him?
 
Kwavile busara ni adimu huyu mkweree hatawaondoa hao mawaziri; matokeo yake madaktari watagoma tena na wananchi wengi kupoteza maisha tena na yeye kwenda kuhudhuria mazishi!! Hiyo ndio busara ya Vasco!!
 
Kwavile busara ni adimu huyu mkweree hatawaondoa hao mawaziri; matokeo yake madaktari watagoma tena na wananchi wengi kupoteza maisha tena na yeye kwenda kuhudhuria mazishi!! Hiyo ndio busara ya Vasco!!
............halafu atasafiri tena, the story keeps recycling, duh:ballchain:
 
Asiishie hapo kuna makopo mengi tu ya kutupa pale, yameshaisha muda wake
mama Nagu
Kawambwa
Mwakyembe (Mgonjwa)
Mwandosya (mgonjwa)
Ngeleja (hayuko serious)
Malima (boza)
Mponda (zero)
Nkya (conflict of interest, useless)
nk

Nadhani madokta watakuwa wanataka kuharakisha mabadiliko ambayo JK tetesi zilizagaa kuwa anataka kuvunja baraza la mawaziri.
 
Ni muda nzuri wa kujua busara kwa Jk na timu yake

hana ata chembe ya busara hata kwa kumwangalia kwani haiwezekani kwa rais anayejua wajibu wake kwa wananchi kuna mgomo ktk secta nyeti kama ya afya asishuhulikie badala yake anasafiri kwenda nje, ametuonyesha hana utu, busara, huruma wala wajibu wake kwa waajiri wake
 
Asiishie hapo kuna makopo mengi tu ya kutupa pale, yameshaisha muda wake
mama Nagu
Kawambwa
Mwakyembe (Mgonjwa)
Mwandosya (mgonjwa)
Ngeleja (hayuko serious)
Malima (boza)
Mponda (zero)
Nkya (conflict of interest, useless)
nk

Awatupe wakati wao ndo maslahi yake si unajua njiwa wa jamii moja huruka pamoja
 
Nadhani madokta watakuwa wanataka kuharakisha mabadiliko ambayo JK tetesi zilizagaa kuwa anataka kuvunja baraza la mawaziri.

tetesi gani miezi miwili aisee??? hivi kweli huyu jamaa amepatwa na nini?? i think he underestimates the damage he is causing due to his negative approach towards any serious matter
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom