Madaktari waliogoma wanahojiwa na East Africa Radio muda huu.

...ingekuwa serikali inatambua kuwa Udakatari ni wito (i.e kama ni wito kweli) basi suala zima la elimu ya MEDICINE LINGEKUWA NI FREE OF CHARGE,kwakuwa wanazani wananchi hawajui kinachoendelea kwamba kozi zote nchini Tanzania zinazolipiwa ada na bodi ya mikopo ni lazima wanafunzi warudishe hela LOAN'S BOARD as soon as zei start working..,hao wanaodai Udaktari ni wito wasingekuwa na cha kusema unless ni ''...hawajitambui kweli kama gavament ya uchakachuzi inavozani kuwa hawajielewi...'',NANI KASHAWAHI KUSKIA KUWA ILI KUWA EIZA PADRI,SHEHE,MCHUNGAJI,etc WANALIPISHWA MASOMO YAO...!!!!???

...nchi ye2somehow ya Kibwege,sabu ukiwa na majina ya staili za Kanumba,Joti,Ray,Wema,Zembwela,Bambo,etc unaweza kupewa post ya profesional yoyote and nothng wil mata...,ndomana utakuta m2wa Medicine anakuwa Waziri wa Ulinzi (eg-Sarungi enzi zile),engeneer anapewa Wizara ya samaki,mwanajeshi atapewa Wizara ya Tourism and ......,ili wawa2mie wawezavyo sabu HAWTAKUWA NA CREATIVITY WORKING IN PLACES ZEI NEVER EVEN DREAMED IN ZER LIVES,as result cheap budget or cheap labour..,SABU WATAPIGA KAZI KWA MSHAHARA NA SI KWA MAENDELEO WA TAIFA NA RAIA WAKE KWA UJUMLA.....
 
Back
Top Bottom