Madaktari waliogoma wanahojiwa na East Africa Radio muda huu.

jchofachogenda

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
537
123
Baadhi ya madaktari ambao wapo kwenye mgomo wanafanya mahojiano katika katika radio ya East Africa kipindi cha Super mix kinachoongozwa na Zembwela muda huu.Kwa mwenye nafasi afungue hiyo radio asikilize sababu zao za kugoma.Pia wanaruhusu maswali kuwauliza madaktari kwa njia ya simu na Sms.
 
samaraiz angalau kiduchu tupate kapicha mkuu redio nduhu ngosha!!!!
 
Baadhi ya madaktari ambao wapo kwenye mgomo wanafanya mahojiano katika katika radio ya East Africa kipindi cha Super mix kinachoongozwa na Zembwela muda huu.Kwa mwenye nafasi afungue hiyo radio asikilize sababu zao za kugoma.Pia wanaruhusu maswali kuwauliza madaktari kwa njia ya simu na Sms.

Hata siku moja muuaji hatakiwi kusikilizwa, hawa ni wauaji na washitakiwe !

Nimewasikiliza tangu wanaanza ila hao watangazaji hawanifurahishi namna wanavyohoji. Wapo biased hadi kipindi kinaboa.
 
Hilo ndilo tatizo la kuvamia fani, sio kila mtangazajia ana uwezo wa kufanya mahojiano.
 
yaani watangazaji hawajawapa nafasi ya madokta kutolea ufafanuzi yaani kila wakiaanza kuongea wanauliza swali. yaani hadi tumeshindwa kuupdate sababu wale watangazaji nikama hawajasomea ile kazi. mtu unapo muhoji haitakiwi uwe upande wowote lakini wao walikuwa upande wa serikali. wanaambiwa tumegoma sababu hatuna vitendea kazi na tumepiga kelele mwaka mzima bila kusikilizwa ndo maana tunashinikiza wajiuzuli coz hawatusikilizi. mtangazaji eti anauliza eti "kwanini ugome wakati hayo yanazungumzika?".tpuu..!!
 
Zembwela yupi yule Comedian?
Hao wanaokubali kwenda hojiwa nae watakuwa comedia pia bse a serious dr huwezi hojiwa na Comedian lazima mtapishana tuu!
 
Baadhi ya madaktari ambao wapo kwenye mgomo wanafanya mahojiano katika katika radio ya East Africa kipindi cha Super mix kinachoongozwa na Zembwela muda huu.Kwa mwenye nafasi afungue hiyo radio asikilize sababu zao za kugoma.Pia wanaruhusu maswali kuwauliza madaktari kwa njia ya simu na Sms.

Watangazaji wako biased sana in favor of serikali. Labda nao pia na familia zao zinatibiwa Apollo. Zembwela ndiyo kabisa atakuwa mteja maarufu wa St. Thomas London.

Kwa mfano, Zembwela anakalia swali kwamba wakishajiuzulu mawaziri, waliokufa watafufuka? Na anauliza utafikiri anaongea pointi kumbe ni utumbo mkubwa. Hakuna causal relationship kati ya kujiuzulu na kufufuka. Kujiuzulu ni uwajibikaji na kufufuka ni kitu kisichopo.

Na mwisho wamemleta mzee mmoja sijui alikuwa daktari zamani. Huyu mzee akili yake imeshachoka na anaongelea kama senile. Akili yake haiwezi tena kupambanua vitu kwa mtazamo ambao hakuwa nao akili ilipoacha kukua - na hivyo anabaki kuzungumza unyerere tu. Eti mmefundishwa bure, sijui kazi yenu ni wito, na bla bla nyingine
 
Huyo Mzee vipi?? Waliosomeshwa bure ni wao sisi tunaodaiwa na Bodi ya mikopo!!!
 
Hao madaktari waliokubali kwenda kuhojiwa na mtu wa aina ya Joti ni kwamba wanaidharirisha fani ya udaktari, yule Zembwela ni mchekeshaji tu na si zaidi ya hapo.
 
Baadhi ya madaktari ambao wapo kwenye mgomo wanafanya mahojiano katika katika radio ya East Africa kipindi cha Super mix kinachoongozwa na Zembwela muda huu.Kwa mwenye nafasi afungue hiyo radio asikilize sababu zao za kugoma.Pia wanaruhusu maswali kuwauliza madaktari kwa njia ya simu na Sms.

Hiyo redio huku haishiki! Mi niko mpakani nahama nchi. Mtajiju huko! Nya*b*fu zenu watz!
 
Watangazaji wako biased sana in favor of serikali. Labda nao pia na familia zao zinatibiwa Apollo. Zembwela ndiyo kabisa atakuwa mteja maarufu wa St. Thomas London.

Kwa mfano, Zembwela anakalia swali kwamba wakishajiuzulu mawaziri, waliokufa watafufuka? Na anauliza utafikiri anaongea pointi kumbe ni utumbo mkubwa. Hakuna causal relationship kati ya kujiuzulu na kufufuka. Kujiuzulu ni uwajibikaji na kufufuka ni kitu kisichopo.

Na mwisho wamemleta mzee mmoja sijui alikuwa daktari zamani. Huyu mzee akili yake imeshachoka na anaongelea kama senile. Akili yake haiwezi tena kupambanua vitu kwa mtazamo ambao hakuwa nao akili ilipoacha kukua - na hivyo anabaki kuzungumza unyerere tu. Eti mmefundishwa bure, sijui kazi yenu ni wito, na bla bla nyingine

Wito ni uchungaji,usheikh na upadri,sio kwa fani nyingine!ila me nawalaumu hao ma dr waliokwenda kuhojiwa na mtu kama Zembwela!
 
Nimewasikiliza tangu wanaanza ila hao watangazaji hawanifurahishi namna wanavyohoji. Wapo biased hadi kipindi kinaboa.

Hili ndilo tatizo la kufanya siasa kwa kila kitu ukijumuisha udaktari ambapo mtu husoma kuanzia miaka mitano. Utamaduni huu unatuharibia nchi sana.
 
Back
Top Bottom