madaktari wako tayari kufa wakitetea haki

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
huu ni ujumbe uliowafikia madaktari wote nchini baada ya tukio la kuteswa na kupigwa kwa kiongozi wa jumuiya ya madaktari Dr stephen ulimboka.
"ukiwa vitani na ukashuhudia askari mwenzako kapigwa risasi ya kichwa kinachofuata ni rage and courage ya kuongeza mapambano'' alisikika daktari mmoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom