Madaktari wakataa msaada wa Serikali kugharamia matibabu ya Dr Ulimboka

Kuna watu wanasema wajinga wanapokuwa na tatizo husahau tatizo la Msingi na kudhani kwamba kwa yeye kupata tatizo ahurumiwe zaidi kuliko wengine

Natamani sana ningekuwa mmoja wa watu waliompiga Ulimboka, kwa nini nitaeleza.

Natamani sana kuwaona Mama Nkya na Kijobisimba wanaadhirika kwa kupokea hivyo vijisenti na kumuona Ulimboka ni shujaa na kutetea uhai wake wakati yeye kasababisha maelfu ya Watanzania kufariki kwa kuwaongoza wenzake kwenye mgomo wa Madaktari

Ulimboka mikono yake na mikono ya Madaktari wenzake aliowaongoza kugoma inatoka damu pamoja na roho zao. wametoa na wanaendelea kutoa damu za watu wasio kuwa na hatia maskini wasiokuwa na mbele wala nyuma.

Wameamua kudai kuongezewa mishahara na marupurupu kwa kutoa roho za watu leo mnasema Ulimboka ni shujaa??? ni kweli ni shujaa wa kutoa roho za watu nami nasema atarudi akiw kwenye jeneza watamfukia kama nilimzika Babu yangu na Mjomba wangu ambao walikufa kwa sababu ya kutopata huduma baada ya kupata ajali kisha???? ULIMBOKA kawaongoza wenzake kugoma na wanakwenda kutibu kwenye Hosoitali za watu binafsi kwenye watu fedha Mama zetu, dada zetu, shangazi zetu, na ndugu zetu. sasa leo watu wasiokuwa na akili timamu wanasema eti Ulimboka ahurumiwe kwa lipi?

man umevurugwa.
madai ya madaktari yapo kumi na,,,,,, mbona wewe unataja moja tuu hayo mengine umeyaacha wap??????
again umevurugwa
 
Mmh jamani, kwani majeraha yake hayawezi kutibika hapa Tanzania? Hizo pesa zilizochangishwa zitumike katika shughuli nyinginezo za kuboresha sekta ya afya kwa manufaa ya MTz. Si ndio lengo
Haya uliyosema yaonyesha sio mtu unayeelewa hali halisi ilivyo. Kila la heri huko mbali uliko ila kwa heshima na taadhima acha "sarcasms"
 
Walikua wanatest zari tu. Kama serikali iliwaamuru viongozi wa hospitali ya Muhimbili wasitoe Ambulance kumchukua Dr. Ulimboka itakua kumpeleka nje kwa matibabu. Hii kitu ni aibu sana kwa nchi yetu.
serikali imeaibishwa sana katika hili
 
Kuna watu wanasema wajinga wanapokuwa na tatizo husahau tatizo la Msingi na kudhani kwamba kwa yeye kupata tatizo ahurumiwe zaidi kuliko wengine

Natamani sana ningekuwa mmoja wa watu waliompiga Ulimboka, kwa nini nitaeleza.

Natamani sana kuwaona Mama Nkya na Kijobisimba wanaadhirika kwa kupokea hivyo vijisenti na kumuona Ulimboka ni shujaa na kutetea uhai wake wakati yeye kasababisha maelfu ya Watanzania kufariki kwa kuwaongoza wenzake kwenye mgomo wa Madaktari

Ulimboka mikono yake na mikono ya Madaktari wenzake aliowaongoza kugoma inatoka damu pamoja na roho zao. wametoa na wanaendelea kutoa damu za watu wasio kuwa na hatia maskini wasiokuwa na mbele wala nyuma.

Wameamua kudai kuongezewa mishahara na marupurupu kwa kutoa roho za watu leo mnasema Ulimboka ni shujaa??? ni kweli ni shujaa wa kutoa roho za watu nami nasema atarudi akiw kwenye jeneza watamfukia kama nilimzika Babu yangu na Mjomba wangu ambao walikufa kwa sababu ya kutopata huduma baada ya kupata ajali kisha???? ULIMBOKA kawaongoza wenzake kugoma na wanakwenda kutibu kwenye Hosoitali za watu binafsi kwenye watu fedha Mama zetu, dada zetu, shangazi zetu, na ndugu zetu. sasa leo watu wasiokuwa na akili timamu wanasema eti Ulimboka ahurumiwe kwa lipi?

Pengine mimi ni kati ya wachache sana kati ya watu ambao wanaunga mkono mgomo wa madaktari kwa asilimia zote. Sababu kuu ni moja! Unafikiri kuwa madaktari wanadai nyongeza za mishahara na posho tu. Lakini mawazo yao yako mbele zaidi yako mara elfu moja. Wao wanadai hadi kuboreshewa mazingira ya kazi ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa vifaa vya muhimu kama x ray, ultra sound na vifaa vingine vya muhimu kuwepo katika hospitali zote na zahanati zote nchini. Wewe ushabiki wako wa kudhani kuwa madaktari ni waroho wa mishahara na posho kama wabunge wa ccm ndiko kunakufanya ufikiri kuwa Dr. Ulimboka was wrong to lead other doctors to strike, but that was not the case.

Kitu kingine, sisi wananchi kama tunaona mgomo wa madaktari unaathiri sana maisha yetu, tunatakiwa kuandamana kuishinikiza serikali kuwalipa madaktari ili watuhudumie katika mazingira mazuri ili tupone, tupate dawa bure na matibabu mengine bure! Juzi shemeji yangu amejifungua kwa operation, nje ya wodi ya wazazi pameandikwa bango kubwa kuwa HUDUMA ZOTE KUANZIA DAWA NA KILA KITU NDANI YA WODI YA WAZAZI KWA MUDA WA SIKU 42 NI BURE, lakini that is not the case, kila kitu kinauzwa ndani ya hospitali ya wilaya ya serikili HAPA MPANDA na kama hakiuzwi, unaambiwa ukanunue, YAANI KIFUPI, YALE MAANDISHI PALE NJE, HAYANA MAANA YOYOTE!!!

Nafikiri kuwa we dont have to spend much time in blaming doctors, but we have to take further steps to make sure that the ccm Government has to pay doctors and making sure they are working in a safe environment for their betterment and the prosperity of our health.

ACHA TUFE KWA KUKOSA MAARIFA WAKATI WA UCHAGUZI!!!! **** KUNA MTU ANAKUSANYA KURA ZA WANOUNGA MKONO MGOMO WA MADAKTARI, YANGU IHESABIWE, BORA NCHI ISITAWALIKE KAMA ALIVYOSEMA YULE MBUNGE LAKINI HAKI ITENDEKE!!!!
 
Ndugu Ipecacuanha, hakuna hiyo "sarcasm" yoyote katika maandishi yangu hapo juu. Nilikuwa nachangia hoja kuhusu matumizi mbadala wa hizo pesa chungu mzima zilichangishwa. Mbona mimi nafanya kazi Muhimbili na hali ya Dokta wala haikuwa mbaya kushinikisha ati apelekwe kwa matibabu nje.

Haya uliyosema yaonyesha sio mtu unayeelewa hali halisi ilivyo. Kila la heri huko mbali uliko ila kwa heshima na taadhima acha "sarcasms"
 
Back
Top Bottom