Madaktari wajipanga kuanza semina za ujasiriamali

Dr Klinton

Senior Member
Jan 21, 2012
123
152
Huu ni ukweli kwa sasa madaktari tumeamua kuanza kufanya semina za ujasiri amali
mdogo mdogo na mkubwa kwani tunaona kuwa kazi tunayoifanya hatuifanyi vizuri kutokana
na mazingira mabovu pia magumu ya kazi ambayo pia hailipi zaidi ya kuhatarisha maisha yetu
truly kazi yetu tunaipenda sana kwani ina job satisfaction ya kutosha hasa pale unapomuona
mgonjwa aliyekuja hajiwezi na sasa amepona baada ya matibabu
lakini kwa hali ilivyo sasa tumeona hii haitoshi na inatubidi tuchukue hatua mbadala
 
good spirit, babu wa loliondo is the great entrepreneur of the century, pleaze follow his path
 
Ukinyang'anywa liseni utaufanya Ujasiriamali wapi? halafu kumbuka bado hamjarudisha fedha ambazo serikali ilikugharamia wewe daktari kupata elimu hiyo..
 
Mkuu Mkandara unaweza kuwa na point, lakini hivi Kikwete amekwisharudisha fedha zilizogharamia elimu yake?
 
Ukinyang'anywa liseni utaufanya Ujasiriamali wapi? halafu kumbuka bado hamjarudisha fedha ambazo serikali ilikugharamia wewe daktari kupata elimu hiyo..

leseni kwa ajili ya nini hata ujasiri amali mdogo mdogo wa kulima matikiti kuuza matunda nk pia unahitaji leseni.

pia unatakiwa kufahamu kuwa leseni ni kwa wale ambao wanataka kupractice(kuendelea kuhudumia wagonjwa)
Ila degree ninayo tayari ninaweza fanya kazi kwenye tasisi au asasi za utafiti na zinginezo

Mbona wengi tu wapo mtaani hawana ajira na wamesomeshwa na serikali kuna ambaye hajasomeshwa na serikali kwani
wewe umesomeshwa nani?
hivyo wala sio shida tukiwa safi tatalipa kidogo kidogo hayo madeni ya HELSB
 
Ukinyang'anywa liseni utaufanya Ujasiriamali wapi? halafu kumbuka bado hamjarudisha fedha ambazo serikali ilikugharamia wewe daktari kupata elimu hiyo..

Leseni ni karatasi tu kitu muhimu ni kichwa cha muhusika; mtu aliyesomea fani yake vizuri hategemei makaratasi bali kichwa chake, mkitaka kuwamaliza kabisa pengine muwachinje vichwa vyao!! Sasa hao madaktari watarudishaje hizo pesa wanazodaiwa wakati serikali haiwalipi stahili zao? Think before you hit your key board!!
 
Huu ni ukweli kwa sasa madaktari tumeamua kuanza kufanya semina za ujasiri amali
mdogo mdogo na mkubwa kwani tunaona kuwa kazi tunayoifanya hatuifanyi vizuri kutokana
na mazingira mabovu pia magumu ya kazi ambayo pia hailipi zaidi ya kuhatarisha maisha yetu
truly kazi yetu tunaipenda sana kwani ina job satisfaction ya kutosha hasa pale unapomuona
mgonjwa aliyekuja hajiwezi na sasa amepona baada ya matibabu
lakini kwa hali ilivyo sasa tumeona hii haitoshi na inatubidi tuchukue hatua mbadala
Mpo Sawa lakini pesa mnayolipwa haitoshi? na pia si serikali iliwaachia mfungue hospital ya bei mbaya ile ikaitwa Moi pale mnapata pesa nyingi...

Najua mwataka mfanane na madaktari wa Nje haswa ulaya na America kwa hapa haitawezekana

Hospital binafsi mnazoenda kupiga day waka zinatughalimu sana sie tusiependa usumbufu kwenye hospital za serikali so nadhani huo ujasilia mali muusemao ni kujikita zaidi kwenye hospital za wahindi na sio linginelo tunawajua fika wekeni vitu fact na sio kudanganyia kuwa ujasilia mali... fikisheni hoja zenu kiuwazi na sio kuzunguka sana kama humu jf wekeni wazi tu tutawasaidia kwa mawazo kupelekea ujumbe kwenye serikali hii dharimu na lege lege
 
Hao viongozi wakija kutibiwa wafanyieni umwaikembe tu wapungue wabaki wanaoipenda nchi..

Viongozi waovu wapo wachache sana wanaochelewesha maendeleo yetu yaani kupata haki yako lazima uandamane au ugome hii haiingii sana akilini...

Naombeni namba za Nato pls
 
Huu ni ukweli kwa sasa madaktari tumeamua kuanza kufanya semina za ujasiri amali
mdogo mdogo na mkubwa kwani tunaona kuwa kazi tunayoifanya hatuifanyi vizuri kutokana
na mazingira mabovu pia magumu ya kazi ambayo pia hailipi zaidi ya kuhatarisha maisha yetu
truly kazi yetu tunaipenda sana kwani ina job satisfaction ya kutosha hasa pale unapomuona
mgonjwa aliyekuja hajiwezi na sasa amepona baada ya matibabu
lakini kwa hali ilivyo sasa tumeona hii haitoshi na inatubidi tuchukue hatua mbadala
Wabunge mishahara,maposho juu kwa taaluma ipi?watu muhimu katika taifa na maana kwa maisha yetu ya kila siku hawathaminiki!tuko nyuma yenu wakuu,piganieni mnacho amini kitaboresha mazingira yenu ya kazi na hata uboreshwaji wa huduma kwa wagonjwa,Mwl Nyerere aliwahi kusema kua taifa ambalo wasomi wanapigia magoti watawala ni taifa lililoparaganyika,maana wasomi wana haki ya kukosoa yale wanayo ona hayana tija katika maendeleo ya taifa lao
 
Ukinyang'anywa liseni utaufanya Ujasiriamali wapi? halafu kumbuka bado hamjarudisha fedha ambazo serikali ilikugharamia wewe daktari kupata elimu hiyo..

Vilaza wengine bwana!leseni gani hiyo mtaaluma unayosema wakinyang'anywa hawatafanya ujasiliamali?ebu nenda kaelimike kwanza alafu ndio uje kuchangia hapa
 
Huu ni ukweli kwa sasa madaktari tumeamua kuanza kufanya semina za ujasiri amali
mdogo mdogo na mkubwa kwani tunaona kuwa kazi tunayoifanya hatuifanyi vizuri kutokana
na mazingira mabovu pia magumu ya kazi ambayo pia hailipi zaidi ya kuhatarisha maisha yetu
truly kazi yetu tunaipenda sana kwani ina job satisfaction ya kutosha hasa pale unapomuona
mgonjwa aliyekuja hajiwezi na sasa amepona baada ya matibabu
lakini kwa hali ilivyo sasa tumeona hii haitoshi na inatubidi tuchukue hatua mbadala

Hongereni sana kwa msimamo thabiti. Nadhani Watanzania wengi tutakuwa tayari kuwasaidia kwa hali na mali ili kufanikisha azma yenu na hivyo kuwawezesha kuendelea na taaluma yenu muhimu. Msisite kuomba misaada ya hali na mali kutoka kwa Watanzania mtashangaa sana na jinsi Watanzania tutakavyoitikia ombi lenu kwa nguvu kubwa sana. Mie nawatakia kila la heri katika semina yenu. Msikubali kutishwa na hii Serikali iliyojaa mataahira.
 
Aliyechoka kukaa wordini karibuni mitaani. huku hakuna posho wala migomo.
 
good spirit, babu wa loliondo is the great entrepreneur of the century, pleaze follow his path

wow wow wow usinikumbushe kuhusu huyu babu alisababisha vifo vya watu wengi sana
 
Back
Top Bottom