Nobody knows tomorrow
Member
- Jul 14, 2011
- 22
- 2
Tuache kusapoti u jinga na u huni unaofanywa na hawa jamaa....Hiyo kamati imesajiliwa wapi?? Kwahili sijawahi kuunga na wala sitoliunga mkono....Ninyi shabikieni lakini athari zitakazowapata mama ana baba zenu wakiwamo bibi na babu zenu ambao hamuishi nao ndo mtajua.....hata kama tunadhani tunaikomoa CCM na serekali..nadhani strategy hii ni mbovu na haifai na wala haitatufikisha popote....Nakaribisha matusi na kejeli kama ilivyo kawaida ya baadhi ya wana JF ambao hatutaki kusikia second opinion....
Biblia inasema "watu wangu wanaangamia kwa Kukosa maarifa" So kwa ujinga wetu we will pay for it, that's all. Mi nasaport kuanzia mwanzo mpaka mwisho.