Madaktari waipiga changa la macho serikali

Tuache kusapoti u jinga na u huni unaofanywa na hawa jamaa....Hiyo kamati imesajiliwa wapi?? Kwahili sijawahi kuunga na wala sitoliunga mkono....Ninyi shabikieni lakini athari zitakazowapata mama ana baba zenu wakiwamo bibi na babu zenu ambao hamuishi nao ndo mtajua.....hata kama tunadhani tunaikomoa CCM na serekali..nadhani strategy hii ni mbovu na haifai na wala haitatufikisha popote....Nakaribisha matusi na kejeli kama ilivyo kawaida ya baadhi ya wana JF ambao hatutaki kusikia second opinion....

mkuu Mkirua, learn via experience! Mgomo wa walimu waliuzuia mahakamani wakiahidi kuufanyia kazi. Hola hadi leo! Walimu wameweka chaki chini (unafiki)! Madaktari hawataki unafiki hivyo hawawaigi walimu!
 
Mshahara wa daktari ukiongezwa mpaka mil 3.5 kwa mwenye bachelor anayeanza kazi nawaapia jamani tutegemee reaction kubwa sana kutoka kwenye kada nyingine za wafanyakazi wa umma!Ni kweli kuwa madaktari ni wa muhimu sana lakini kwa uchumi wa Tz huo mshahara hautekelezeki,pia kila mfanyakazi wa umma ana umuhimu kwa jamii husika,hili suala la kujiona bora kuliko wengine kwakweli mimi siliafiki kabisa!
Madaktari sawa tunakubali kuna changamoto katika sekta yenu na zinahitaji kutatuliwa lakini kuingia kwenye mgomo binafsi siwaungi mkono hata kidogo.
 
Mojawapo ya njia ya kupata suruhu ya jambo fulani ni kugoma. Na katika kutafuta haki, lazima wewe au mtu mwingine aumie. No right will come on silver plate! Thus, Doctors aluta continuoer.
 
Wakati serikali ikikimbilia kuzuia mgomo mahakama kuu ya kazi, madaktari wanashangaa.
Serikali imeweka zuio la mgomo wa madaktari wa chama cha madaktari MART wakati madaktari wanafanya mgomo kupitia jumuia ya madaktari chini ya Uongozi wa Stephen Olimboka.
Naibu mwanasheria mkuu bwana Masaju katika chl10 kasema wao wanachotambua ni chama cha madaktari kilicho sajiliwa hivyo vyama vingine havitambuliki.
kaongeza pia ambaye atakiuka sheria ya mahakama atashitakiwa na awale watakao sababisha vifo. Mia

Kwa wale wote wanaokumbuka nilivyo umwa cancer , iliwachukua Muhimbili muda sana kujua I had a broken back ambayo pia hawakujua kwa nini.Badala yake wakaamua nipasuliwe mgongo nikasema no .Kwenda wakakuta nina cancer aina ya Multiple Myeloma imesambaa mwilini 73 % .Wakaanza matibabu na kugundua kwamba I had another infection ambayo niliipa muhimbili wakatika nasukumwa kwenye wheelchairs au kwemye X-rays machines au kwenye MRI scanning machine .Sasa madaktari kusema vyombo duni vya kufanyia kazi nawaelewa sana sana .Maana hata hawakugundua naumwa nini na huyo ni Pro.Kahamba ambaye yeye alidhani anipasue mgongo na in the end no OP was neeeded ni matibabu pekee .Tanzania kuna ujinga mwingi sana hata hao waganga si kamilifu .
 
Selikari ninani?

My operational definition katika hili serekali ni yeyote mwenye uwezo wa kutibiwa mahali popote ikiwemo india na uingereza na ambaye yeye na familia yake haitaathirika na mgomo huu.
 
Sidhani kama inahitaji mtu kuwa genius kuweza kutambua serikali yetu inacheza mchezo mchafu wa karne ya 19 katika zama za sayansi na technolojia katika karne ya 21. Serikali imeshikilia bango dai moja la nyongeza ya mshahara kwa madaktari na kulifanya kama ndo mzizi wa mgogoro mzima. Wakati kuna madai ya msingi sana ambayo yameshindwa kutekelezwa kama uboreshaji wa huduma mahospitalini.

Madaktari mnakula kudos kwa kuamua kudai haki za wagonjwa wenu ambao mmekuwa mkishuhudia zikidhulumiwa na kutafunwa na mapanya buku. Kazeni uzi mpaka kieleweke ili hawa jamaa ambao wamekataa tusiwaite dhaifu kwa sababu ya ugoigoi wao wapate adabu na kujitambua wao na wajibu zao
 
Hata mazuri yana faida hata kwa watu wabaya, it goes on both sides with no excuse, unachokisimamia hakileti maana sahihi, the way this world operates ni kila kitu kina gharama yake ndg!

Let this remain the point of disagreement between you and others of the same view....

Tuache kusapoti u jinga na u huni unaofanywa na hawa jamaa....Hiyo kamati imesajiliwa wapi?? Kwahili sijawahi kuunga na wala sitoliunga mkono....Ninyi shabikieni lakini athari zitakazowapata mama ana baba zenu wakiwamo bibi na babu zenu ambao hamuishi nao ndo mtajua.....hata kama tunadhani tunaikomoa CCM na serekali..nadhani strategy hii ni mbovu na haifai na wala haitatufikisha popote....Nakaribisha matusi na kejeli kama ilivyo kawaida ya baadhi ya wana JF ambao hatutaki kusikia second opinion....
Siamini madaktari kama wataleta athari zaidi ya zile zilizoletwa na CCM kwa utawala wake wa zaidi ya miaka arobaini. Umefanya nini kuizuia CCM. Acha upuuzi, kila mtu atetee maslahi ya kazi yake.
 
Hiyo kamati imesajiliwa wapi?? Kwahili sijawahi kuunga na wala sitoliunga mkono...Nakaribisha matusi na kejeli kama ilivyo kawaida ya baadhi ya wana JF ambao hatutaki kusikia second opinion....
Haijasajiliwa.
Si kamati rasmi katika organogram ya MAT.
MAT haiwezi kuitisha mgomo.
Madaktari si wanasheria lakini haihitaji kuwa mwanasheria kujua hili.
Hiyo kamati imeundwa na madaktari na inatambuliwa na madaktari,
Haihitaji kutambuliwa na chombo chochote isipokuwa madaktari.
Inaendeshwa kwa mujibu wa utashi wa madaktari wanogoma.
Inawaunganisha madaktari, virtualy, more than MAT does.
Haiogopi mahakama.
Serikali itumie busara na sio ubabe wa vyombo vyake vya dola.
 
Kwa wale wote wanaokumbuka nilivyo umwa cancer , iliwachukua Muhimbili muda sana kujua I had a broken back ambayo pia hawakujua kwa nini.Badala yake wakaamua nipasuliwe mgongo nikasema no .Kwenda wakakuta nina cancer aina ya Multiple Myeloma imesambaa mwilini 73 % .Wakaanza matibabu na kugundua kwamba I had another infection ambayo niliipa muhimbili wakatika nasukumwa kwenye wheelchairs au kwemye X-rays machines au kwenye MRI scanning machine .Sasa madaktari kusema vyombo duni vya kufanyia kazi nawaelewa sana sana .Maana hata hawakugundua naumwa nini na huyo ni Pro.Kahamba ambaye yeye alidhani anipasue mgongo na in the end no OP was neeeded ni matibabu pekee .Tanzania kuna ujinga mwingi sana hata hao waganga si kamilifu .
Mzee ulitibiwa na madaktari wote Tanzania? Au multiple myeloma imeshakula skull yako? AU una hypercalcaemia? Maana hoja yako haieleweki.
 
My operational definition katika hili serekali ni yeyote mwenye uwezo wa kutibiwa mahali popote ikiwemo india na uingereza na ambaye yeye na familia yake haitaathirika na mgomo huu.
Hiyo definition inafiti serikali ya Tanzania.
Kudos!
 
Mshahara wa daktari ukiongezwa mpaka mil 3.5 kwa mwenye bachelor anayeanza kazi nawaapia jamani tutegemee reaction kubwa sana kutoka kwenye kada nyingine za wafanyakazi wa umma!Ni kweli kuwa madaktari ni wa muhimu sana lakini kwa uchumi wa Tz huo mshahara hautekelezeki,pia kila mfanyakazi wa umma ana umuhimu kwa jamii husika,hili suala la kujiona bora kuliko wengine kwakweli mimi siliafiki kabisa!
Madaktari sawa tunakubali kuna changamoto katika sekta yenu na zinahitaji kutatuliwa lakini kuingia kwenye mgomo binafsi siwaungi mkono hata kidogo.
Daktari hahitaji umuunge mkono wewe, maana hata dukani mkienda wote humlipii wewe; ila anafungua pochi yake.
 
Kwa wale wote wanaokumbuka nilivyo umwa cancer , iliwachukua Muhimbili muda sana kujua I had a broken back ambayo pia hawakujua kwa nini.Badala yake wakaamua nipasuliwe mgongo nikasema no .Kwenda wakakuta nina cancer aina ya Multiple Myeloma imesambaa mwilini 73 % .Wakaanza matibabu na kugundua kwamba I had another infection ambayo niliipa muhimbili wakatika nasukumwa kwenye wheelchairs au kwemye X-rays machines au kwenye MRI scanning machine .Sasa madaktari kusema vyombo duni vya kufanyia kazi nawaelewa sana sana .Maana hata hawakugundua naumwa nini na huyo ni Pro.Kahamba ambaye yeye alidhani anipasue mgongo na in the end no OP was neeeded ni matibabu pekee .Tanzania kuna ujinga mwingi sana hata hao waganga si kamilifu .

Multiple myeloma!
5year survival rate less than 10%
RIP in advance.
 
Naungana nawe kwa hili, ni mbaya wananchi kusapoti huu mgomo, ni vizuri tukajadili au kujenga mijadala itakayoleta suluhu nzuri pasipo kuleta athari mbaya jamii hasa wale ambao maskini. Mimi na hawa wengine ambao wako huku JF huenda tuna uwezo wa kwenda Hindu Mandal, Aga Khan na kwenine... lakini kuna ambao hizi hospitali za serikali ni mkombozi wao. Tunavyoshabikia huu mgomo utokee tunadhani nani ambaye ataathirika!!!! Ni watanzania hawahawa ambao hata humu JF hawapo. Yes it's true that kuna uzembe mkubwa wa serikali lakini hatuwezi kusema Doctoros wagome!
Webondo toa njia mbadala.
 
Siamini madaktari kama wataleta athari zaidi ya zile zilizoletwa na CCM kwa utawala wake wa zaidi ya miaka arobaini. Umefanya nini kuizuia CCM. Acha upuuzi, kila mtu atetee maslahi ya kazi yake.

Upuuzi ni kutokufikiria waathirika mgomo huu ambao ni wananchi wa kawaida bibi na babu zetu kule kijijini...
 
Mshahara wa daktari ukiongezwa mpaka mil 3.5 kwa mwenye bachelor anayeanza kazi nawaapia jamani tutegemee reaction kubwa sana kutoka kwenye kada nyingine za wafanyakazi wa umma!

Madaktari sawa tunakubali kuna changamoto katika sekta yenu na zinahitaji kutatuliwa lakini kuingia kwenye mgomo binafsi siwaungi mkono hata kidogo.
Blue: Madaktari kudai mshahara kuongezwa, au kugoma kushinikiza ongezeko hilo halimzuii Mwalimu, Afande magereza, Mwanajeshi, injinia, toilet cleaner kugoma au kudai maslahi bora. Huenda wameridhika. Wagome wakitaka.
Underline Red: Madaktari hawahitaji sympathy ya wewe au wenzio kuwaunga mkono. Hawahitaji kwenda barbarani kumwagiwa ***** na mabomu ya machozi.
Ukiona nduguzo wanakufa kwa kukosa hiduma yao tafakari, chukua hatua stahiki
 
mkuu Mkirua, learn via experience! Mgomo wa walimu waliuzuia mahakamani wakiahidi kuufanyia kazi. Hola hadi leo! Walimu wameweka chaki chini (unafiki)! Madaktari hawataki unafiki hivyo hawawaigi walimu!
Hata wasingezuia mahakamani walimu wasingegoma.
 
Back
Top Bottom