Madaktari wafukuzwe CCM

Mess

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
661
181
Madaktari wanadhalilisha chama tawala na kukifanya kionekane hakifanyi na kutekeleza majukumu yake hivyo napendekeza wote wafukuzwe CCM na CUF na hatuhitaji kula zao kama zile za wafanyakazi tulizozikataa na tukashinda. Kushinda ni wajibu, changamoto hazikosekani.
 
Daktari gani anaweza kuwa ccm halafu akapass kuwa daktari! Hakuna hata mmoja. Mitoto ya waccm iko bot, tra, voda, celtel na ubarozini. Watoto wa wakulima ndio wakutibu wakulima wenzao. Wenyewe mafua india
 
Kuna neno hapo

Sio tu kuwadhalilisha bali wawavue na nguo kabisa ili mkibakia uchi mjue wajibu wenu kwenye madai yao.
 
Back
Top Bottom