Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

Kufukuzwa madaktari siyo dawa, ila ni funzo. Hakuna haja ya wao kuendelea kuitwa watumishi wa umma wakati hawautumikii umma. 'Fukuza woooteee, kuanza upya si ujinga' Mjomba aliimba. Sifurahii kupigwa Dr. Ulimboka, ila ni funzo kwao na njia ya wananchi kuonesha uchungu wanaoupata kwa mgomo wao. Madaktari hawapaswi kutumia wagonjwa kama kiboko cha kuichapia serikali kwa madai yao hata kama yanamsingi kiasi gani. Sasa je, wamegoma kumuudumia Dr. Ulimboka alipopata matatizo yanayowapata watanzania wengi.

Nakubaliana na unamuzi wa madakatari kufukuzwa wote wanaogoma, na hata wakitaka kujuizuru wote sawa. Serikali ijipange hata kwa gharama kubwa kuwaleta madaktari kutoka majeshi ya nchi marafiki na mashirika km red cross kusaidia wakati suluhu ikitafutwa ya kudumu.

Karibu jamvini, naona umejiunga leo ili nawe "useme openly"....pyuuu!!
 
Hebu sema ni njia gani wangetumia kuidai serikali yenye kiburi za dharau?
 
Hapo juu kwenye red ndio ambalo haliwezekani kabisa. Serikali hii haijawahi kujipanga kwenye kitu chochote; so far huwa ina-act kwa kukurupushwa tu. The only option waliyonayo kwasasa ni kubakia kuwa omba omba kwa mataifa makubwa. In other-words; wamekidharau cha nyumbani lakini watakubali kudhalilishwa na wafadhili (kwakufanya kile wafadhili wanataka) ili wapate wanachoomba. Kwakifupi tunarudi kwenye ukoloni kwani, tumeshindwa kukaa wenyewe nakutatua matatizo yetu bila nguvu na jazba. Shame!!!!

kwani madaktari wanataka nini hasa mimi mbona sielewi je aliyosema waziri mwenye dhamana dr hussein mwinyi yana ukweli wake? na kama hayana ukweli kwa nini tufike hapa tulipo:lol::lol:
 
Muhimili 1 unagoma kujadili, kisa swala lipo katika muhimili mwingine... Ghafla muhimili mwingine unainuka na kuanza kutimua...
Tz ni raha sana...
 
asa una advice watumie iyo gharama kubwa kuleta doctors kutoka nje sioni unasolve vpi tatizo cause madai ya serikali ni kua hawana hela, sijui resources za kuwapa madaktari madai yao, asa wakiwafukuza wote afu wasafarishe doctors kutoka nje wa kutosha tzania nzima wawape na accomodation, tena hao doctors wa nje wa sha zoea vifaa na mazingira yanayofaa ki ka kazi, vitu ambavo hapa tzania hamna, na ndo moja ya sababau doctors wetu wanagoma iyo hela itokea wapi? kama serikali inaeza afford ilo basi izo hela wapewe tu hawa hawa doctors wetu yaishe,,,doctors hawagomi kwa dai moja tu la posho pia kwa vifaa vya hospital na mambo mengine ili waweze kuboresha huduma zao kwa wananchi...wapo upande wetu cause tuna haki ya kupata health service yenye quality na serikali ni duty yake kuprovide
 
Kazi kweli kweli. sidhani aliyetoa uamuzi wa kuwafukuza anafikiri kama ma doctor wataendelea na msimamo. usishangae kuona serkali iki-haha kutafuta njia za kutibu wagonjwa. Ndio mwanzo wa Movie picha ndo bado.
Mwenye akii atumie akili yake 2015

waache wakishawatimua ndo raha maana baada ya siku 2 watahaha kuwarudisha .. wakiwarudisha watadai mikataba mipya .. wakipewa ile ile watakataa kusaini kuwa hairidhishi... watawawekea matakwa yao halamu movie itaisha kwa serikali kushindwa....duh nimezinduka
 
Na kesho Bungeni utasikia wabunge wanasifu na kushukuru kwa hotuba nzuri ya Ofisi ya "Liwalo Na Liwe".

Kama Noma na iwe Noma, nikiugua leo nakuzidiwa na kufariki kwa kukosa matibabu sitajilaum nitajiona shujaa katika mapinduzi haya Liwalo Na Liwe bwana.

Bi. Kiroboto we endeleza kukataa miongozo sisi tutafunga Airpot sijui mtakimbia India kwa Gari au Lah.

Ukiiona hii Bi Kiroboto kumbuka ile ulosema "Asiekuepo Na Lake Halipo", Wewe kichwani mwangu haupo, tukikutana Tahrir na lako ujue haliko.

Getwell Soon Ulimboka

kama sisi wazima tumeshindwa kujitoa mhanga kwa ndugu zetu walioko mahospitalini bsi tusubiri wao watajitoa mhanga kwa ajili yetu na sie tutasema zidumu fikra za serikali dhaifu.
 
Wow! Serikali inaongozwa na Wahuni so mambo lazma wayapeleke kihuni huni. This reminds me back to university.
 
Mgomo utatengeneza mazingira mazuri ya wanetu kukimbilia fani ya udaktari....
Exactly... Nimeshaanza maandalizi ya kukusanya fungu la kutosha ili My Four Year Old little asome Sayansi tangu Nursery mpaka atakapokuwa Phd ya Udaktari.... Kabisa.... Sio huu Ualimu ambao watu wako kwenye mgogoro na opportunity ime[atikana lakini yenyewe yamelala yanasubiri 10000 za Sensa...
 
Nilishasema na naendelea kusema Watanzania/Tanganyika tusipoelekeza hasira zetu pahala sahihi tutaendelea kuumizwa, hii ndio nafasi ya ku vent hasira zetu na concern zote tulizonazo. Jamani time is now, Dr Ulimboka katuonyesha jinsi ya kudai haki na maslahi ya madaktari na Watanzania kwa ujumla.....lets follow suitMimi naamini ukombozi wa Mtanzania/Tanganyika utapatikana kwa roho za ujasiri watu kama Dr Ulimboka Kamanda Godbless Lema na wengine wote waliopoteza maisha au wanaoweka maisha yao hatarini ili tupate kushuhudia na kuikomboa nchi yetu
@Elizabeth Dominic ... Jua kuwa nilielewa ulichosema!!
 
Hivi kwa mwendo huu miaka ijayo mbeleni wenetu watasomea udaktari kweli? Labda kama watakukuwa na uhakika wa ajira za Botswana

sasa kitugani cha ajabu hapo nawe!! si hawataki kufanya kazi waendeleee kukaa wanafanya nini?? walipwe mishahara bila kazi??
 
Now days Tanzania , ili upate haki lazima kwanza Tugome, na lazima kwanza sisi tukubali kupoteza uhai wetu ili kizazi kijacho kiweze kuishi vizuri.
 
Back
Top Bottom