Madaktari wa mji wa Arusha wapanga kukutana Jumatatu

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
taarifa zilizo nifikia hivi punde ni kwamba madaktari wa ule mji wa wanaharakati wanapanga kukutana siku ya jumatatu kujadili mgomo wa madaktari unaoendelea nchini.tusubiri tuone na kusikia.
 
Duh!! Mkuu wa Mkoa huo kasafiri au wamesahau kwamba atawafuata majumbani na FFU kuwapiga ?
 
taarifa zilizo nifikia hivi punde ni kwamba madaktari wa ule mji wa wanaharakati wanapanga kukutana siku ya jumatatu kujadili mgomo wa madaktari unaoendelea nchini.tusubiri tuone na kusikia.

MUNGU akitujalia baada ya Church tu

nitakwenda pale Mount Meru Hosptal then,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Ntawajuza!
 
sasa RPC apeleke polisi na hapo

Madaktari wamefanya walichoshindwa walimu... kudos
 
Back
Top Bottom