Madaktari Tuliochoka Na Mishahara ya Serikali ya Uonevu Hamuoni Vacancy zetu Jamani?

IsangulaKG

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
706
386
Kila Siku humu naona za IT,Finance,Administration ..Za Afya Hazitangazwi? Tumeshachoka Kuwa Mapunda wababa Mizigo ya Mirundikano ya Wagonjwa Wodini..Tena Wagonjwa wenyewe hawana hata asante siku hizi
 
Wagonjwa wenyewe ni sisi pia wana JF. Nadhani kama tatizo ni asante ya neno inategemeana na tamaduni aliyotoka mtu au na wewe pia umeongeaje na mgonjwa wako. Lakini kusema asante si lazima maana umeajiriwa pale na upo uwezekano unapotaka kwenda pia wasiseme asante. Ndugu kila kazi inachallenge hao administrators et al. nao wanapambana na ya kwao. Na kwanamna ulivyoandika, ni vyema umetumia jina si lako vinginevyo watu wangeogopa kutibiwa na daktari wewe. Lakini pia hujachelewa kubadilisha fani kama umechoka.
Next time, jifunze kuelezea shida yako kistaarabu. Check website za hosp za nje ya nchi km nhs ila kwa maadili yako sijui............
 
Kila Siku humu naona za IT,Finance,Administration ..Za Afya Hazitangazwi? Tumeshachoka Kuwa Mapunda wababa Mizigo ya Mirundikano ya Wagonjwa Wodini..Tena Wagonjwa wenyewe hawana hata asante siku hizi
Asante ipi hiyo? Halafu inaonekana kutokana na thread yako uko weak sana professionally, kama ulisoma ulidesa sana mpaka channels huzioni!
 
Kila Siku humu naona za IT,Finance,Administration ..Za Afya Hazitangazwi? Tumeshachoka Kuwa Mapunda wababa Mizigo ya Mirundikano ya Wagonjwa Wodini..Tena Wagonjwa wenyewe hawana hata asante siku hizi

Nina wasiwasi kama wewe ni mtu wa afya kweli! Tatizo si matangazo ya kazi bali tatizo ni wafanyakazi wennyewe hawataki kuajiriwa na serikali kutokana na scale za mshahara ni ndogo,hazieleweki na unachukua miezi mpaka mitano kupata mshahara wa kwanza wakati private mambo ni fasta fasta.
Wizara ya afya imetoa matangazo sana lkn watu hawajitokezi kwa wingi na wengine wakipangiwa mikoani hawakubali kwenda.Hapo nani alaumiwe?
 
kwa nini mnamshambulia? mimi sio daktari lakini nakubaliana kabisa na alichosema, mlitaka abemebeleze? hivi nani kati yenu nyie ma ngwini anaweza kulinganisha mchango wake na hawa madaktari
 
mr dakta,kazi zenu haziko jf kwan mara nyingi mnapangiwa ajira moja kwa moja. Lakini sie kama wahasibu,hr n.k tunapigana kupata kazi. Kama vp check nchi za nje kama swazland,btswana ,iran n.k lakini kwa bongo tutaendelea kuwalipa ela ya "hand to mouth theorem" alaf we eti unajali afya wakati waziri wako anakula takehome 18times your salary p.m. Bongo aibu tupu! Ila ufisadi ndo unatukosesha maisha bora,mfano kila siku CAG anasema kuna wizi bil.200, 98 nk, magazet ya leo amenukuliwa akisema pia 50bil.zimeliwa! Sasa unategemea ela ya kuweka mambo sawa itatoka wapi? Tanzania nchi ya kufikirika jaman!
 
Kila Siku humu naona za IT,Finance,Administration ..Za Afya Hazitangazwi? Tumeshachoka Kuwa Mapunda wababa Mizigo ya Mirundikano ya Wagonjwa Wodini..Tena Wagonjwa wenyewe hawana hata asante siku hizi

Hiyo asante ni ipi unayotaka wewe? au unakaribisha mazingira ya rushwa? mgonjwa anaumwa na kaja kwako kupata ushauri wa namna gania atapoa, then unataka asante? mtu ana maumivu atakumbuka asante wakati hata tiba hajaanza? revise somo lako la psychology ya udaktari......!
 
kwa nini mnamshambulia? mimi sio daktari lakini nakubaliana kabisa na alichosema, mlitaka abemebeleze? hivi nani kati yenu nyie ma ngwini anaweza kulinganisha mchango wake na hawa madaktari
Eti mangwini!!! Hizi kasumba ndio ziliwaponza. Tulikuwa madarasa ya aina moja kabisa wengine wakijiita mainjinia na wengine Ma Dr, lakini mbeleni mh sifa za nini? Watu wakabadili proffesion haraka saana kutokana na hali ya soko. Na wewe bado leo hii unaita watu mangwini kama si kupitwa na wakati. Halafu suala la mchango wa kila mtu inategemea kipimo chako. Yeye anatibu watu, kuna wengine wanatoa ushauri nasaha si madaktari, wengine wanatunza fedha na kuweka bajeti sasa kwanini wewe unatuaminisha kuwa mchango wako ni muhim kuliko wa wengine? walimu nao waseme nini? Nina mashaka saana na umri au exposure yako.
 
Nina wasiwasi kama wewe ni mtu wa afya kweli! Tatizo si matangazo ya kazi bali tatizo ni wafanyakazi wennyewe hawataki kuajiriwa na serikali kutokana na scale za mshahara ni ndogo,hazieleweki na unachukua miezi mpaka mitano kupata mshahara wa kwanza wakati private mambo ni fasta fasta.
Wizara ya afya imetoa matangazo sana lkn watu hawajitokezi kwa wingi na wengine wakipangiwa mikoani hawakubali kwenda.Hapo nani alaumiwe?
Unahakika na ulichokiandika kwamba wizara ya afya inatangaza nafasi na watu hajitokezi?
 
Kila Siku humu naona za IT,Finance,Administration ..Za Afya Hazitangazwi? Tumeshachoka Kuwa Mapunda wababa Mizigo ya Mirundikano ya Wagonjwa Wodini..Tena Wagonjwa wenyewe hawana hata asante siku hizi

Wewe ni mvivu wa kutafuta kazi. unategemea siku uone nafasi ya kazi imeandikwa Daktari ndo uombe. hakuna watu wanaotafutwa na mashirika (NGO) kama madaktari. mie nafanya kazi kwenye NGO ya wamarekani na nafanya kazi ambayo ilitakiwa afanye daktari. mie nafanya kazi za coordination of HIV/AIDS, TB, Malaria, Family planning and Life saving skills Trainings.
 
mi sio dk wala nesi ila nafanya kaz hosp,jaman watu hawa wanadzevu more
 
Kila Siku humu naona za IT,Finance,Administration ..Za Afya Hazitangazwi? Tumeshachoka Kuwa Mapunda wababa Mizigo ya Mirundikano ya Wagonjwa Wodini..Tena Wagonjwa wenyewe hawana hata asante siku hizi

Dk (MD) mkulutumbi;

Pale MICO - Tegeta - kumuona daktari 10,000/= , Maabara minimum 10,000/=, Dawa minimum 10,000/=!

Sasa wewe unakaa Serikalini kufanya nini? Acha njoo mtaani channel zipo nyingi tu...
 
Kila Siku humu naona za IT,Finance,Administration ..Za Afya Hazitangazwi? Tumeshachoka Kuwa Mapunda wababa Mizigo ya Mirundikano ya Wagonjwa Wodini..Tena Wagonjwa wenyewe hawana hata asante siku hizi
<br />
<br />
Km kweli wewe ni dr basi ulikwenda kimakosa sio kwa wito
 
Back
Top Bottom