Madaktari Tanzania mnasemaje?

measkron

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,782
2,406
Madaktari nchini Kenya wameanzisha mgomo ikiwa leo ni siku ya pili wakidai nyongeza ya mishahara na maboresho ya mazingira ya kazi ikiwema vitendea kazi in government hospitals. Hawatarudi kazini until yamemizwa hayo. Source TBC, Citizen and KBC News!
My take: Madaktari wa Tanzania nyie mnasemaje? Au mambo yenu shwari?
 
waseme nini wakati wote wana kadi za kijani na wameridhika na vitrip vya india?
 
Dili zote za kuuza madawa yanayotoka msd ni yao,kuomba kitu kidogo ili utibiwe ni yao,umeona wapi huduma ya bure kumuona dr bongo hii???hawawezi andamana hao mambo yao supa na kadi zakijani wanazo ambayo ni kitambulisho tosha :chukua chako mapema; wizi wa vifaa na kusain asubuhi na kwenda kupiga job kwenye private wakisubiri mwisho wa mwezi.hawawezi goma hao.
 
bongo hawahitaji madaktari bwana,tiba mbadala zipo nyingi kama vile kikombe cha babu,kakobe,lusekelo,mchungaji malisa,manyaunyau,wachina na kwa wanene wa serikalini wanakwea pipa kwenda india.kazi za madaktari zimepungua!!!
 
Dili zote za kuuza madawa yanayotoka msd ni yao,kuomba kitu kidogo ili utibiwe ni yao,umeona wapi huduma ya bure kumuona dr bongo hii???hawawezi andamana hao mambo yao supa na kadi zakijani wanazo ambayo ni kitambulisho tosha :chukua chako mapema; wizi wa vifaa na kusain asubuhi na kwenda kupiga job kwenye private wakisubiri mwisho wa mwezi.hawawezi goma hao.

Kaka kama wabunge wanasinzia bungeni na posho yao inapanda utafikiri imewekewa amira kwa mtu anayesumbua akili siku nzima halafu analipwa kidogo kwanini asile kwa urrfu wa kamba yake?
 
Back
Top Bottom