Madaktari: Serikali ya CCM haijawahi kuwasikiliza.

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,906
6,909
Habarini wakuu.

Serikali ya CCM, haijawahi kuonesha nia ya dhati kuheshimu taaluma za watu hasa MADAKTARI. Wanafanya hivyo kwa kuwa, wanategemea mapato makubwa kutoka katika shughuli haramu za kusindikiza wagonjwa INDIA kufanyiwa matibabu ya magonjwa ambayo baadhi ya madaktari wazalendo wanayamudu na wanahitaji vifaa tu kuyashughulikia.

kuna Dk. mmoja mkerewe, anafahamika kwa jina la DK. MASAU, ambaye amewahi kufungua clinic yake ya kupasua moyo. huyu dk, alifanyiwa zengwe na akaamua kukimbia nchini, akarudi marekani, na baadaye kupewa majengo kufanya kazi RWANDA huku serikali ikimpa kila aina ya msaada anaohitaji kutekeleza majukumu yake.

kwa hali hii, tutafika?
 
Back
Top Bottom