nakosa pa kulalia maana madai ya madaktari ni ya msingi, lakini pia serikali imekwama kuyatekeleza kwa wakati ambao madaktari inataka si kwamba haiwezi inaweza shida ni muda kwao ndilo nililosoma mpaka sasa kulingana na kauli ya pinda ila sijui wazo la kuleta madaktari toka nje ni suluhu..............SIPO KOKOTE MAANA PIA YANIPASA KUMFIKIRIA NDUGU,MTOTO,MAMA,BABA,DADA,KAKA NA JAMAA ZANGU WALIOLAZWA..... Mhhhhh!!!!!!!!! ngoja nikae pembeni kwanza