Madaktari sasa mnakera

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
Mmetuchosha na ulafi wenu mnataka bajeti yote ya Taifa iwe yenu? Angalieni kada nyingine hali ilivyo na wao ni watoa huduma kama nyie
 
Mmetuchosha na ulafi wenu mnataka bajeti yote ya Taifa iwe yenu? Angalieni kada nyingine hali ilivyo na wao ni watoa huduma kama nyie

Hujuhi bajeti nzima inakoenda wewe? Anyway kosha miguu, ule,na uende kulala!
 
Madaktari Gomeni mrudishe heshma ya nchihii. Mtoa mada huna mada nyingine ya kuhamasisha serikali iwatendee hak wa tz
 
Hela mle nyie watu dhaifu na lichama lenu dhaifu afu muwambie madoctor wanataka kila kitu
 
Mmetuchosha na ulafi wenu mnataka bajeti yote ya Taifa iwe yenu? Angalieni kada nyingine hali ilivyo na wao ni watoa huduma kama nyie

Wamekuchosha wewe na nani?

Kada unazozisema ni vile kichwa chako kidogo.

Kama unadhani madaktari na watumishi wa kada nyingine ni sawa hamna haja ya mizozo; KAWACHUKUE WASAMBAZE MAHOSPITALINI, sawa mkuu?

Mimi nimechoshwa na UDHAIFU wa serikali.

Kwanza kwa taarifa yako;
1. TUCTA wamedhamiria kugoma
2. CWT wamedhamiria kugoma
3. Wavuvi ziwa Victoria WAMEGOMA leo siku ya 3
4. Akili yako IMEGOMA sijui kwa muda gani na haioneshi dalili za kusitisha mgomo. Mbona uwasakame wenzio wanaodai haki zao? Halafu unathubutu kuwasemea na wenzako eti TUmechoshwa, hovyo!
 
Wamechoka kuona 'akili ndogo' (dhaifu) inaongoza 'akili kubwa'!
 
ccm na serikali yake ndo wanao kera kwa ahadi hewa na kutojua vipau mbele tana wanadharau fani muhimu kama ya Udaktari
 
Mmetuchosha na ulafi wenu mnataka bajeti yote ya Taifa iwe yenu? Angalieni kada nyingine hali ilivyo na wao ni watoa huduma kama nyie
Shida yako ni umri ndo unaokusumbua, mengi huyajui ila muda ukifika utakubaliana na ukweli baada ya kuujua!
 
Wanakukera we na nani? Unan'taftia ban na lisura lako lakiwasira!
 
Mmetuchosha na ulafi wenu mnataka bajeti yote ya Taifa iwe yenu? Angalieni kada nyingine hali ilivyo na wao ni watoa huduma kama nyie

Acha U..... Wewe. Kwani kada zingine hazijui kudai haki yao. Tutajuaje kama wanaridhika na wakipatacho? Waache waseme wenyewe. Au kama na wewe una matatizo jisemee. Kama unaridhika na ukipatacho kaa kimya.
 
Kila anayeona ananyimwa haki yake na agome, ma dr. wanajitambua sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mmetuchosha na ulafi wenu mnataka bajeti yote ya Taifa iwe yenu? Angalieni kada nyingine hali ilivyo na wao ni watoa huduma kama nyie

Eti ehh! Sasa subiri ukipata ajali wewe au ndugu yako ukaenda muhimbili au bugando wakasema bila CT scan report na kitu kidogo haiingii mtu theathre ndo utaona vizuri inavyokera. We subiri tu. Halafu nahisi kisukari kinakunyemelea kwa sababu ya hicho kitambi unachokilea ukipata kidney failure afu Hemodialysis mbovu au mpaka regency tu ndo utaelewa inavyokera vizuri. Sasa hapo haijalishi una bima ya wapi au huwa unaenda ulaya au india, hapo utafika tu mitaa ya wenyewe otherwise pia inawezekana kabisa kuvuta muda kuja kwa sababu kijiweni kuna lipa ikaandikwa death was ertified.... Hapa nahisi darasa litakuwa limeeleweka kabisa maana hakutakuwa na maswali na maneno kama haya tena
 
Back
Top Bottom